Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Unaongea wangapi umewabwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimembwaga mmoja tu ,nasio kwakitu km icho ...Mimba yako then unamshauri atoe ????? Wewe nimwanamme au boya ???? Ndo kukimbia majukumu ???????? Mwanamke wawatu amekupandia gar umekaa naye ,,ulikua hujui unaweza MPA mimba ???????????? Bado karudi unaanza mambo yakutoa .....hajatoa ili nalo nidogo ????????????? Kakubali kulea mimba kaja umsaidie ,,alafu naww unaanza ooohhhhhh sijui nifanyaje ???????????? .Umemwaribia maisha ....usikute nandugu zake wamemtenga ,,afanye nini?????? MWANAMKE ANAYETOA MIMBA MARA NYINGI HAJITAMBUI AU WEWE MWABAMME NDO CHANZO CHA YEYE KUTOA MIMBA ,,,, NAMARA NYINGI MWANAMKE AKIWA AMEKUPENDA HUJAUZITO HAWEZI TOA ....... SASA JE UNAHISI WATOTO WAMITAAN WANATOKANA NANINI ?????

ACHENI KUKIMBIA MAJUKUMU .

ACHENI KUA NA ROHO ZA UMASIKINI.

mwisho wahabari.
 
kwa uandishi wako tu inaonesha hujapevuka kiakili sawasawa..kwanza mwanzoni umesema aliondoka na mimba ukamshauri akaitoe...akaomba pesa za kutolea..sasa kujibu kmcomment hapa unasema aliomba mimba..kama aliomba mimba kwann mwanzo mlijadili kuitoa?
uliskoa raha kumweja chumbani kwako mwezi mzima unajilia utamu tu..leo vipi unakereka hata siku moja?
unajua labisa mimba mi yako..uligegeda ndani kwako mwez mzima..mimba ni yako..
na hatoi mtu mimba utalea tu..hela ya kujifungua utalipa na malezi utatoa..pampers nepi vyote utanunua..
lea mimba hiyo

WHEN YOU DECIDE TO DO SEX IN THE NAME OF COLD WEATHER...REMEMBER THIS;A CUP OF HOT TEA EVERYDAY IS CHEAPER THAN PAMPERS!!
 
Acha UZWAZWA lea mimba na ulee mtoto. Kakukatia viuno mwezi mzima kwa raha zako halafu leo unataka kumkana! Mbona hukumkana baada ya kuwa naye kwa siku mbili tu. Acha ujinga lea mwanao.

Habari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja hatimae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba).

Alirudi kwao Tanga, nilimshauri aitoe na akakubali lakini aliomba nimtumie pesa ya kufanya hilo jambo, ikatumwa. Wanasema ukishangaa ya mtandaoni utayaona ya huyu demu, juzi karudi kwangu bila taarifa baada ya kupotezana kwa miez 4 huku nilikuwa nisham-delete akilini.

Nimempokea na sijamfunua k yake tangu aje na mimba hajaitoa. Je, wadau huyu demu nimfanyaje asepe mazima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uandishi wako tu inaonesha hujapevuka kiakili sawasawa..kwanza mwanzoni umesema aliondoka na mimba ukamshauri akaitoe...akaomba pesa za kutolea..sasa kujibu kmcomment hapa unasema aliomba mimba..kama aliomba mimba kwann mwanzo mlijadili kuitoa?
uliskoa raha kumweja chumbani kwako mwezi mzima unajilia utamu tu..leo vipi unakereka hata siku moja?
unajua labisa mimba mi yako..uligegeda ndani kwako mwez mzima..mimba ni yako..
na hatoi mtu mimba utalea tu..hela ya kujifungua utalipa na malezi utatoa..pampers nepi vyote utanunua..
lea mimba hiyo

WHEN YOU DECIDE TO DO SEX IN THE NAME OF COLD WEATHER...REMEMBER THIS;A CUP OF HOT TEA EVERYDAY IS CHEAPER THAN PAMPERS!!
Ndo hapo ,,,, mwezi mzm kamfungua Binti wawatu ,,nausikute mwanamke alikua akitaka kuondoka jamaa anamkatalia ..nausikute alikua akimwambia nipo siku zahatar jamaa anapiga tu ....Wanaume wengine walibaki kidogo wawe naundugu na she.......i
 
Nimembwaga mmoja tu ,nasio kwakitu km icho ...Mimba yako then unamshauri atoe ????? Wewe nimwanamme au boya ???? Ndo kukimbia majukumu ???????? Mwanamke wawatu amekupandia gar umekaa naye ,,ulikua hujui unaweza MPA mimba ???????????? Bado karudi unaanza mambo yakutoa .....hajatoa ili nalo nidogo ????????????? Kakubali kulea mimba kaja umsaidie ,,alafu naww unaanza ooohhhhhh sijui nifanyaje ???????????? .Umemwaribia maisha ....usikute nandugu zake wamemtenga ,,afanye nini?????? MWANAMKE ANAYETOA MIMBA MARA NYINGI HAJITAMBUI AU WEWE MWABAMME NDO CHANZO CHA YEYE KUTOA MIMBA ,,,, NAMARA NYINGI MWANAMKE AKIWA AMEKUPENDA HUJAUZITO HAWEZI TOA ....... SASA JE UNAHISI WATOTO WAMITAAN WANATOKANA NANINI ?????

ACHENI KUKIMBIA MAJUKUMU .

ACHENI KUA NA ROHO ZA UMASIKINI.

mwisho wahabari.
Habari inaendele, ngoja usaidiwe japo kwa painkiller. I told to read the entire episode but unaonekana umegubikwa na one dependent variable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uandishi wako tu inaonesha hujapevuka kiakili sawasawa..kwanza mwanzoni umesema aliondoka na mimba ukamshauri akaitoe...akaomba pesa za kutolea..sasa kujibu kmcomment hapa unasema aliomba mimba..kama aliomba mimba kwann mwanzo mlijadili kuitoa?
uliskoa raha kumweja chumbani kwako mwezi mzima unajilia utamu tu..leo vipi unakereka hata siku moja?
unajua labisa mimba mi yako..uligegeda ndani kwako mwez mzima..mimba ni yako..
na hatoi mtu mimba utalea tu..hela ya kujifungua utalipa na malezi utatoa..pampers nepi vyote utanunua..
lea mimba hiyo

WHEN YOU DECIDE TO DO SEX IN THE NAME OF COLD WEATHER...REMEMBER THIS;A CUP OF HOT TEA EVERYDAY IS CHEAPER THAN PAMPERS!!
Hii ni simulizi na uwez kuimaliza one day, kumbuka plot organization then utajikosoa kifasahii zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari inaendele, ngoja usaidiwe japo kwa painkiller. I told to read the entire episode but unaonekana umegubikwa na one dependent variable

Sent using Jamii Forums mobile app
HAMNA CHA KINGEREZA WALA CHA VARIABLE WALA CHA ONE WALA CHA DEPENDENT ..........

WEWE SEMA IVI UNAPENDA VILIVYOKUFA BASI YAAN UNAPENDA VINYONGE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

KWAUFUPI UNAPENDA MTEREMKO ..MF...NDO HUO ..UNAPENDA SEX LKN HUPENDI MATOKEO YAKE ..SASA UWE UNAKUMBUKA NAKUPIMA NGOMA.
 
Back
Top Bottom