Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Katoka Tanga kaja Mwanza bila taarifa

Hii ndio shida ya baadhi ya wanaume mnapoliona jambo jepesi sana pale mnapowapa wenza wenu na kuwaambia wazitoe.

Kafanya vizuri huyo dada kutoitoa hiyo mimba. Sioni haja ya kutaka asepe wakati ana kiumbe tumboni. Tulizana naye kwa kweli hakuna jinsi
Alternative IPO, ndio man's idea yako imetofautiana na zngne

once beaten, twice shy.
 
Habari wana-jf,
Kuna demu nilimtongoza mtandaoni na alikuja hadi home ninapoishi na kukaaa kwa muda wa mwenzi mmoja hatimae akaondoka na kivimbe tumboni(mimba).

Alirudi kwao Tanga, nilimshauri aitoe na akakubali lakini aliomba nimtumie pesa ya kufanya hilo jambo, ikatumwa. Wanasema ukishangaa ya mtandaoni utayaona ya huyu demu, juzi karudi kwangu bila taarifa baada ya kupotezana kwa miez 4 huku nilikuwa nisham-delete akilini.

Nimempokea na sijamfunua k yake tangu aje na mimba hajaitoa. Je, wadau huyu demu nimfanyaje asepe mazima?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hey, nahitaj mtoto sio ke wakichina

once beaten, twice shy.
Hujitambui au wachangiaji wamekuchanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom