Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,406
- 3,397
hivi sasa kidogo sawa ningeshangaa sana kama jamaa walitoka clean kirahisi, ila still taratibu nyingi kama taifa waweka sheria wanatukwamisha, na mbaya zaidi unakuja kukutana na ike kauli maarufu ya "kutokujua sheria sio kinga"Hapo kisheria kabisa mchakato mzima wa kuuza nyumba ulikua sio HALALI kwasababu makaka walifanya udanganyifu
Hapa ilitakiwa hao makaka wapambane na kosa la forgery na warudishe gharama zote kwa Mkinga
Mkinga akaona sana sana ataishia kuwafunga tu maana hiyo hela wlikwisha itumia na uwezo wa kuilipa hawana
Kuna muda unafika inabidi sheria uiweke pembeni kupunguza hasara
Nilipata habari alikamata magari yao na viwanja vya chanika kujaribu kufidia