Jana katika ku surch tv yangu nikamkuta huyu rais a.k.a waziri wa mambo ya nje akiwa huko washngton anatoa propaganda zake aliniuzi vibaya watu wamechoka na masha yeye ndiyo k.guu na njia lakini najua iko day haki haitapotea kwa uwongo .

<br />
<br />
mkuu inaelekea ungekuwa rais ungemtuma your fnreighn minister kukuwakilisha huko UN ambako this every country leader anaenda huko.
Napenda maoni tofauti ila hili ungelifikiria usiwe mtu wa kupenda kulalamika na usiwe na chuki mkuu jua roho mbaya haijengi n only light can end darkness!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.