Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

Unapewa nafasi ya kugombea kwa kubebwa halafu unaleta "pang'ang'a"......

#SiempreCCM
 
CDM mnawazia ubunge wa watu wengine tu.Gwajiboy ni mbunge .Kwannn ajiuzulu.
 
 
Kama siyo kweli viongozi wanapaswa kukanusha tu siyo kumwadhibu.
 
Kama siyo kweli viongozi wanapaswa kukanusha tu siyo kumwadhibu.


Umenena vyema kabisa !

Kuna watu wanahitaji mafunzo kwenye maswala kama vile problems solving, n.k na sio kukimbilia kutoa adhabu kwa kutaka kukomana au kukomeshana!
 
Ajiuzulu kwa sababu zipi; kwa manyang'au wanaowaandama wenye mtazamo tofauti-NO acha wachukue hatua ili wananchi wapate nguvu ambayo hao wenye visasi watavyoanguka kwenye bwawa la tope
 
Gwajima anafukuzwa CCM, as soon as possible
 
Yeye ameeleza ukweli wake juu ya kile anachokiamini. Tena si yeye tu bali huo ulikuwa ndio mtazamo wa watanzania hadi March Mwaka huu. Baada ya hapo wengine ndio wakaanza kugeuka. So yeye atulie, wakimtoa haina shida lakini itasomeka ametolewa kwa sababu ya kuusema ukweli ambao hata waziri wa sasa miezi michache iliyopita mwaka huu aliuamini. Alikuwa ni mfuasi mzuri wa kujifukiza na dawa asili na si chanjo
 
Kwa hiyo hata kule Marekani ambapo chanjo imetengenezwa ba imetoka wanavyoigomea ni kutokana na maneno ya Gwajima?

Basi huyo Gwajima atakuwa ndio mtu anayesikizwa sana Duniani. Maana hapa Tz zimekuja chanjo 2M lakini hadi leo ukienda hadi wilayani bado zipo.
 
Swadakta!
 
Kwa hiyo unakubaliana na Gwajiboy siyo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…