Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,056
- 144,463
Unasubiri CCM wakupe uhalali wa jambo linalohatarisha wao kuendelea kubaki madarakani! Are you serious?Kuita Siku yakitaifa umefeli.Kitaifa wakati haina uhalali wakisheria
Tafuta jina maalum lakuwavuta wapigania katiba
Kukosekana kwa katiba nzuri kumekukosesha haki ya kupata elimu nzuri ambayo ingekufanya, hata majukwaa kama haya uchangie kama mtu mwenye akili timamu.Hiyo katiba inadaiwa na majuha, hakuna mwenye akili timamu anataka katiba
Huko seriously kweli mkuuHiyo katiba inadaiwa na majuha, hakuna mwenye akili timamu anataka katiba
Wewe akili uipate wapi? Hudumia mumeo vizuriKukosekana kwa katiba nzuri kumekukosesha haki ya kupata elimu nzuri ambayo ingekufanya, hata majukwaa kama haya uchangie kama mtu mwenye akili timamu.
Ili angalao wanao wawe raia wenye akili timamu, na siyo kama wewe Baba yao, ni vema ukapigania katiba mpya nzuri yenye kuwahakikisha haki yao ya kupata elimu nzuri.
Vijana wa ufipa ndio wanataka katiba, sasa jiulize Kuna mwenye akili huko ufipa?Huko seriously kweli mkuu
Rubbish.Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya.
Siku hiyo ikifika kila mwaka, wanasiasa, wanaharakati na wananchi kwa ujumla wanafanya makongamano na mikutano nchi nzima kwa lengo la kukumbusha madai ya kupatikana kwa Katiba Mpya.
Pia,, kila mwaka katika siku hiyo, tuwe na kauli mbiu itayotumika kuchagiza madai hayo ya katiba Mpya na ninapendeleza siku ile ambayo Mzee Warioba aliwassilisha maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya ndio iteuliwe kuwa ni siku ya kitaifa ya kila mwaka ya kuadhimisha na kuhimiza madai ya Katiba Mpya.
Ikiwezekana tuanze mwakani na kauli mbiu iwe: Bila Katiba Mpya, huwezi jenga uchumi imara na endelevu.