Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,008
- 31,430
Waziri Mkuu mstaafu bingwa wa kulia hovyo hovyo alishiriki misa takatifu St Theresa Jijini kwa heshima ya wadhifa aliwahi kushika Paroko akampatia nafasi ya kusalimia waumini.
Badala ya kusalimia waumini akaanza ohoo Rais Samia alikuwa Vatican 🇻🇦 alikutana na Baba Mtakatifu walifanya mazungumzo ya maana sana.Blah blah .....
Mizengo Pinda Kayanza sisi waumini wa Kanisa Takatifu Catholic bado tunakumbuka mauzo ya Bandari zetu na dharau siku ya uwasilishwaji jinsi maAskofu wetu walivyodhalilishwa na lile pumbavu lisilo vaa viatu.
Ngongo kwasasa Arusha tayari kwa maandamano ya amani.