Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

Kwa nini hutaki kwenda na mkeo kuzicheki hizo gemu?

Una matatizo wewe. Kama huna tatizo basi kuna jingine......
Nyani Ngabu umeona na wewe eee...........huyu jamaa ni uzinzi ndo unaombua hana lolote......
 
Last edited by a moderator:
Kombe la Dunia la mwaka huu naona limekuja vibaya sana
 
Na zile tiketi zote za kuanzia robo fainal hadi fainali ushazipata baby?
Na mie Paw kaninunulia tickets za mechi 3, yaani nakuja kuangalia eti kila mtu anasafiri kivyake, na anaangalia mechi zake. Madai yake tusimuliane. Nimeshanunua tikiti za mechi zake na mie naenda kumsapraizi.

#teamkubanana
cc Mbu
 
.....hahahaha! ....hivi nyie mkienda Saloon au kwenye kitchen party tunawafuata?
acheni kubanana na sisi banaa,....kwenye #Starehe ya ushabiki wa soka kuna #Utoto tunaofanya
ambao haupendezi mke kuona au kusikia... 😛eace:
 
Habari wanajamvi,

Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za taifa.

Kwanza akaanza kuipenda Arsenal ghafla kama mimi navoipenda, na ameanza kuipenda timu ya taifa ya Ujerumani ninayoishabikia na anajua story kibao za soccer anadai eti tutakua tunaenda wote kucheki game nasema hapana kama anataka amani yeye aangalizie home ili yaishe ni hayo tu.

yaani you are lucky man nenda nae tu baba au kama vp kaeni wote home muangalie
 
Hehehe, mtajijuu! Ndo tumeshakaba na hapo na saluni hauwezi kuingia manake mule kuna shule hadi phd. Tafuteni sababu ila mpira ndo ushaingiliwa swahiba. Brazil here i comeeee! Zile shape za wale wanawake wa brazili (mkia hapa na macau!) mbona ntafunga mtu pingu na kumvalisha mawani ya mbao!
.....hahahaha! ....hivi nyie mkienda Saloon au kwenye kitchen party tunawafuata?
acheni kubanana na sisi banaa,....kwenye #Starehe ya ushabiki wa soka kuna #Utoto tunaofanya
ambao haupendezi mke kuona au kusikia... 😛eace:
 
Nyani Ngabu umeona na wewe eee...........huyu jamaa ni uzinzi ndo unaombua hana lolote......

Sidhani kama tatizo ni uzinzi...either mkewake mzuri sana na anaogopa kumchanganya katikati ya mbwamwitu, au anadhani ni mbaya sana na hajiamini kumpeleka mbele ya rafikizake...
Ngoja aje atueleze mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Utam wa game msimuliane kama baadae hasa yeye achek home mimi nikachek kwingine huko mbaaali

Huyu jamaaa huwa anachepuka anasingizia mpira sasa janja yake imegundulikaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Star Times ipo nataka yeye awe anaangalia home lkn bado hataki kabisa

Itabidi ushukuru Mungu, ndoa nyingi sana zilivunjika World Cup 2010 baada ya wenzako kugundua kuwa houseboy walikuwa wanajinafasi baada ya wanaume kuacha wakezao home.
 
Ndo wa shida na raha huyo mkuu teh teh... iweje leo raha ule peke yak? afu mbay zaid mliapa hamtotengan... namsaidia tu kukumbusha mkuu i knw patamu hapo
 
Tatizo liko wapi we nenda kwingine naye aende kwingine! Mkutane saa 1 asubuhi nyumbani! Raha ya mpira ni kuangalia na watu wengine siyo nyumbani na watoto!
 
Habari wanajamvi,

Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za taifa.

Kwanza akaanza kuipenda Arsenal ghafla kama mimi navoipenda, na ameanza kuipenda timu ya taifa ya Ujerumani ninayoishabikia na anajua story kibao za soccer anadai eti tutakua tunaenda wote kucheki game nasema hapana kama anataka amani yeye aangalizie home ili yaishe ni hayo tu.

Hahahaha mimi hata sishangai kama wewe ni mpenzi wa Asernal
 
Back
Top Bottom