Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

Kombe la dunia litazua mengi naona dalili ya wakware kuchepuka wazi wazi
 
Hehehe, mtajijuu! Ndo tumeshakaba na hapo na saluni hauwezi kuingia manake mule kuna shule hadi phd. Tafuteni sababu ila mpira ndo ushaingiliwa swahiba. Brazil here i comeeee! Zile shape za wale wanawake wa brazili (mkia hapa na macau!) mbona ntafunga mtu pingu na kumvalisha mawani ya mbao!
Hahahahahaha King'asti lazima utorokwe.
 
Last edited by a moderator:
hahahahah umenichekesha sana na hii story yako daaa hapo umebanwo huna pakutokea.

Alaf zaidi huna sababu za kumkataza kufatana na wewe.
 
Msiwe mnatamka jina la mungu ktk upumbavu mnaopost humu
Huu mezi ndo ulikua mwezi wa neema za allah yeye analeta kauzibe na hata kama jana ameninunulia jezi originali za ujerumani lkn bado hajanishawishi kabisa
 
Habari wanajamvi,

Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za taifa.

Kwanza akaanza kuipenda Arsenal ghafla kama mimi navoipenda, na ameanza kuipenda timu ya taifa ya Ujerumani ninayoishabikia na anajua story kibao za soccer anadai eti tutakua tunaenda wote kucheki game nasema hapana kama anataka amani yeye aangalizie home ili yaishe ni hayo tu.

Abiria kaanza kuchunga mzigo wake. Wakati kombe la dunia likiendelea ripotu za michepuko zitakuwa nyingi.
 
alaf hizi mechi ubaya wake hazinogi kuangalia kwako.

hazinogi kabisa mkuu mwisho unajikuta umeshalala kwenye sofa tu hauna hili wala lile yani inabidi nitafute visababu hasa vya kueleweka
 
hahahahah umenichekesha sana na hii story yako daaa hapo umebanwo huna pakutokea.

Alaf zaidi huna sababu za kumkataza kufatana na wewe.

na hivi Kova nae ameshatibua kuwavaa hawa wezi wake ndo hata sababu zinaisha kabisa
 
Ngoja na mi nimtafte wa kumganda..ka lubaaaa.,nataka kujua wats goin on in the footbal world this tym ..lol
 
Unataka kuniambia wewe upo kianalojia? Ni electronic tickets (kidigitali zaidi)! Fungua PM yako nimeziambatanisha udownload bila shida! Wewe tena kwangu?!
Yaani wewe siku zote umekaa kuniharibia tu! Hazijafika, funguo za posta anakaa nazo paw labda umuulize
 
una bahati sana mkuu! ila kuna mshikaji wangu, ana mke wa sample ya mkeo, yeye alichofanya, alienda na shem kucheki mechi "vibanda kupinda mgongo!" wakati mechi inaendelea, anasema mara chupa zinarushwa! hawajakaa sawa, matusi! mara Tv imezimwa, mara inawashwa! kutahamaki, watu washapasuana!
 
Back
Top Bottom