Katibu mwenezi CCM: Kihongosi out, Manara inn

Subhanallah....🤭
Unapigaaa 🥸🥸
Napata vitamin K...😍.webp
 
Kila GoTi litapigwa
kila mmoja ataonja joto la jiwe

Hizo sub za CCM ni hatari ya anatoka fala anaingia bwan pimb
Hizi sub ni kama zile kipindi cha mechi za born town vs bush stars kwenye majarida ya sani.Unamtoa comrade kipepe anawekwa pimbi.Huku nje Zena na Betina wanashindwa kuelewa.Kama ni kweli huu utawala umefitinika kiwango cha juu sana
 
Kihongosi kaponzwa na interview yake na Odemba hasa kuhusishwa mauaji ya oktoba 29 na police na kuongelea kuchukizwa na utekaji na kupoteza Kwa Polepole.

Manara karibu kwenye game
Dogo kichwani kama "mtupu flani hivi"
 
Yule sio mjinga, atakuwa alishajua kinachoendelea jikoni akaona Bora atafuye huruma ya watanganyika. Ni kama nchimbi alivostukus muvu na yeye akajiongeza.
Kabisa Ukiona Mwanasiasa anaanza kusideline na Wananchi kutafuta sympathy ya Umma ujue Kumekucha Uko Ndani

Rigathi Gachagua Former Naibu Rais wa Kenya before his impeachment alifanya interview Fulani na Kina Linus wa Citizen TV ambayo kwa macho ya kawaida watu walianza kuhoji ni wapi ametoa guts za kuzungumza hayo kumbe Bana Jikoni tayari palikuwa panachemka

Ruto boys tayari walikuwa wameshamuondoa Kwenye WhatsApp group la President dairy na tayari wakisha Anza kusukuma Motion kwa senators na MP kumfurusha ofisini

Ile interview ya Riggy G ilikuwa purely kutafuta sympathy kwa wakenya kwasababu tayari alishaona wingu Mbele

Riggy G aliamini Senate inaweza kumuokoa Kwenye impeachment lakini alikuwa nyuma ya muda mana senators walishapigwa deposit kuvote Kukubali Ile impeachment motion

Riggy G Ali delay Fulani and that was a deadly mistake aisee akawa impeached na Kwa katiba ya Kenya ukiwa impeached Unapoteza Sifa ya Kuhold ofisi yoyote ya Umma

kama Ndugu Riggy G angewahi na kuresign basi pengine uchaguzi ujao wa Kenya angekuwa Kwenye ballot paper as flag barrier wa DCP party

Kenan kuna Kitu kanusa
 
Comment iliyojitoleza. Madini!
 
Back
Top Bottom