kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche aache kunitajataja

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, kufuatia kauli zake za kutilia shaka mafanikio ya nchi. Soma: Sugu amvaa Kihongosi, amtaka aachane na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche anasema chukieni vyombo vya ulinzi? Mwambieni aliyechanganyikiwa aondoe ujinga huo!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwapa moyo askari wanaolinda usalama wa taifa. Kihongosi amesema askari huendelea kufanya...
  3. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

    Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi Aendelea Kuikausha na Kuiteketeza CHADEMA Mitaani. Mkutano Wake Waondoka Na Mwandamizi Aliyekuwa Msaidizi Wa Alli Kibao

    Ndugu zangu Watanzania, Moto Uliowashwa Na Katibu wa Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM Taifa Ndugu Mheshimiwa Kenani Laban Kihongosi Unaendelea Kuuteketeza Na kuukausha Upinzani mitaani Hususani CHADEMA. Ambayo Wanachama wake wengi wamezinduka kutoka Usingizini na kuanza kuondoka na kukihama...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Sugu amvaa Kihongosi, amtaka aachane na Heche

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amemtaka Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, kuacha kumzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika mikutano yake ya hadhara. Soma pia: Kihongosi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kibano cha "Soft-Ball" cha Odemba kwa Kihongosi na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM

    KIBANO CHA "SOFT-BALL" NA UPWAYAJI WA HABARI: Uchambuzi wa Mahojiano ya Kihongosi na Odemba, na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM Habari za jioni Wana-JamiiForums (JF), Matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Leo nimeona nilete mada hii mezani kwenu kwa...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwa majibu haya Kihongosi, CCM ina wakati mgumu mbele ya Watanzania

    Nimemsikiliza Katibu wa Itikadi, uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi akihojiwa na mtangazaji Edwin Odemba Septemba 5, 2026 na kubaini kuwa, CCM ina wakati mgumu kujibu maswali magumu ya Watanzania kutokana na hali ya siasa inavyoendelea nchini. Maswali ya Odemba yalijikita katika uchaguzi...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi CCM: Kihongosi out, Manara inn

    Kihongosi kaponzwa na interview yake na Odemba hasa kuhusishwa mauaji ya oktoba 29 na police na kuongelea kuchukizwa na utekaji na kupoteza Kwa Polepole. Manara karibu kwenye game
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Oktoba 29, 2025 Vurugu zilianza mida ya mchana saa 7, wakati huo kura zimeshapigwa, Vurugu hazikuanza saa 4 popote Tanzania

    Odemba: ...chama chenyu cha Chama Cha Mapinduzi kimepata ushindi wa kishindo kwa asilimia zaidi ya 97, mliwezaje kupata asilimia zote zile katika hali kama hii ambayo watu na umma unajua ya kwamba watu hawakujitokeza kwa wingi katika kupiga kura? Kihongosi: Jambo ambalo naweza kukuhakikishia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Damu ya Watanzania haipo mikononi mwetu CCM, chama hakikuchukua silaha kumdhuru yeyote, Oktoba 29, 2025

    Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu tuanze mifumo ya vyama vingi lakini tangu tuanze uchaguzi. Inaaminika ya kwamba yale yote...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Sijui Nchimbi yuko wapi lakini naamini yupo

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua msimamo wake kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa Katibu wa Chama na Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi. Akizungumza katika mahojiano ya Medani Kuu na Mwandishi Edwin Odemba, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (Itikadi, Uenezi na Mafunzo)...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongos: CCM Tunatamani Lissu awe nje tuendeleze kujenga nchi na kufanya siasa. Nchi yetu ni ya Kidemokrasia

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema CCM inatamani kuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwa nje ili aendelee kushiriki katika ujenzi wa taifa na kufanya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Soma Pia: Kihongosi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mdahalo. Aje na Lema, Boniyai na Sugu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Heche Anajua Muenezi wa CCM Sio Size Yake, hasa Katika Mjadala na wakiwa hata 5 mimi nitafanya nao mjadala nijibu hoja kwa hoja Soma pia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Haki na Amani vinakwenda sambamba, CCM tunasema haki pia ila unaweza kuwa na haki na usiwe na amani

    Odemba: Kuna wimbo ambao Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikiimba kwa muda mrefu sana yapata miongo sita sasa. Na wimbo huu ni wimbo wa amani. Kwa nini Chama Cha Mapinduzi kinahimba wimbo wa amani kuliko wimbo wa haki, Kihongosi?" Kihongosi: Ndugu Odemba, huwezi kutenganisha haki na amani. Hivi vitu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Mtu anayesema Maendeleo Hayafanyiki Anapotosha, Miradi Yote ya Kimkakati Inaendelea

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: CCM haiwezi kuondoka Madarakani

    "CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani. "Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ndio muasisi wa katiba mpya, mchakato utapatika kabla 2030

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni ajenda yake ya msingi na utatekelezwa kama ulivyohaidiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030. Akizungumza kwenye mahojiano ya mojakwa moja na Clouds Digital leo 19/08/2026, Katibu wa Halmashauri...
  19. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi taifa CCM Kenan Kihongosi anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa Pwani.

    Kama heading inavyojieleza katibu muenezi wa ccm taifa anatarajiwa kufanya ziara mkoa wa pwani yote ambapo atatembelea KIBAHA,RUFIJI na MKURANGA... yetu macho na masikio ni juzi tu apo waziri amekataza mikutano Soma pia Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa hadhara wa Mwenezi Kihongosi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ataja sababu ya CCM kuendelea kuaminiwa na Watanzania

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara...
Back
Top Bottom