Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,127
- 94,406
Tambua alikua karibu mkuu kiongozi huyo,unadhani ana njaa?
Katibu mkuu kiongozi?
Wa serikali ya awamu ipi hiyo?
Tambua alikua karibu mkuu kiongozi huyo,unadhani ana njaa?
Nawewe unaamini story za vijiwe vya kahawa? Aliyeturoga watanzania alituweza sana. Hata kureason kidogo tu hakuna?Wao ACT siwalimpinga JPM sasa wameanza kuokoteza watu wa JPM tuliwaambia kuwa jpm ni jiwe haswa wakabisha ....zuzu zitto anasemaje....?
Kwani mshahara ndio unaleta utajiri au deal akiwa kwenye hicho cheo?Sasa hujui kwakua katibu mkuu kiongozi,inamaana mshahara wake bado upo?
Unadhani ana njaa?
Wakati Slaa anatoka cdm, Bashiru alikuwa ccm? Nani aliwanunua hao Malaya wa kisiasa, ama hujui wakati huo alikuwa katibu mkuu wa ccm. Nikupe ushahidi gani, ama Mimi ni ofisi ya CUF hivyo Nina daftari la waliokuwa wanachama wake?Huna unachojua kumhusu DK Bashiru! Nimekwambia weka ushahidi hapa kuonyesha kuwa haliwahi kuwa Cuf! Unalia lia tu!
Ulivyo hujui lolote unafikili DK Bashiru ndio alikuwa anawanunua hao Malaya wa kisiasa!
Dk slaa nae alinunuliwa na DK Bashiru?
Exactly.Huyu na Polepole walitajirika sana katika ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara. Walikuwa wanaweka cha juu wakati mwingine mara mbili ya kile alicholipwa mpinzani uchwara. Magufuli alikuwa na mabilioni aliyokuwa anapora kwenye plea bargain, alikuwa anachota tu ili mradi kuikomoa Chadema. Magufuli alikuwa mpumbavu sana.
YAAANI HUKO NDIYO ANAENDA KUUZA UHURU WAKE KABISA BORA ANGEBAKI NA UBUNGE WA KUTEULIWA HUKO ANAPOTEA KABISAAliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.
Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.
ACT oyeeACT Wazalendo wanamwona katika namna tofauti.
Labda kwenye masuala ya UgangaACT Wazalendo wanamwona katika namna tofauti.
Zingatia neno NJAA.Huyo Hana njaa,labda kama ana ndoto zakua TAJIRI kama ambao unahisi wako kwenye madaraka na wana huo utajiri.Kwani mshahara ndio unaleta utajiri au deal akiwa kwenye hicho cheo?
Bilashaka ipo kwenye mkataba wa yeye na mwajiri.Ila ana stahki zake ambazo analipwa hadi leo.Katibu mkuu mstaafu ana stahiki zipi na kitita chake cha pension kikoje?
Nape aliiba mali gani?? Mmekalia kuchafua watu mbona hajafungwa jela kama aliiba!!?!!Dk Bashiru Kakurwa hakuwa na makando kando ya kuiba wala kuhujumu mali za chama! Alirejesha mali zote za chama zilizokuwa zimeibiwa chamani na mmoja wa watu waliokuwa wameiba "kujimilikisha" mali za chama ni Nape.
Alirudisha mali zote za chama,ikiwemo maduka,majengo, radio station na TV station, viwanja vya wazi n.k chama kiliongeza mapato kuliko wakati wowote toka chama kianzishwe, alisimamia uchaguzi ndani ya chama kwa utaratibu wa kueleweka!
Alilipa madeni na mishahala ya watumishi wote wa chama ambao walikuwa wanadai malimbikizo yao,aliwapa makatibu wa chama wa wilaya nchi nzima vitendea kazi vya ofisi kikamilifu pamoja na kuwapatia magari ya kisasa ili wafanye kazi zao kwa weredi!
Ndio wakati tuliona makatibu wa wilaya na mikoa wakiandaa na kuitisha mikutano ya adhara kunadi sera za chama.
Ndie aliefanya chama kutotegemea wafanyabiashara na mafisadi bali chama kilijitosheleza na kujiendesha kwa rasilimali zake zenyewe.
Sasa sijui tafsiri yako ya kusema ni katibu wa hovyo inatoka wapi? Au wewe ni muanga uliekuwa umejimilikisha mali za chama!!
Kama sio tueleze ni katibu gani wa chama cha mapinduzi aliewahi kufanya kazi ya angalau ya viwango vya DK Bashiru Kakurwa?
Anaweza kuwa Hana njaa, ila Hana kiasi. Kwani hao wezi wengine huko serekalini wana njaa, au ni tamaa ya mali?Zingatia neno NJAA.Huyo Hana njaa,labda kama ana ndoto zakua TAJIRI kama ambao unahisi wako kwenye madaraka na wana huo utajiri.
Siku ya wakulima hakuwa anajenga hoja, bali alikuwa analeta nongwa. Enzi zake na Magufuli Kila hoja iliyokuwa inatolewa ya aina hiyo walikuwa wanaita uchochezi. Usitake kuturudisha nyuma kwa huyo tapeli tukikumbuka siasa zao za kihayawani.Unamjua vizuri uliyomtaja? Mama yako anamjua kwanza anajua kujenga hoja, alipiga moja tu siku walipomualika wakulima, uliona matokeo?
Acha tabia mbaya ya kuwazushia watu uongo. Unafikiri ni rahisi kiasi hicho mtu atoke ccm anakoshiba na kusaza, pasipo kulima; halafu aje huko ACT Wazalendo kula kwa jasho?Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.
Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.
Hizi ni dalili za kukosa kazi, unapuyanga tu kwenye simu kwa kuwa una bandoAliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu.
Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya kutompatia nafasi za matumizi ya anasa kama nyumba nzuri, magari mazuri V8 na ulinzi wa uhakika tangu alipoondolewa katika nafasi za kufoka foka wakati yeye anastahili kutafuna keki ya Taifa.
Ndani ya ACT Wazalendo kahakikishiwa nafasi ya juu na uhakika wa nafasi ya kuisimanga serekali ya sasa.
Ngongo kwasasa Kibanda Maiti Zanzibar.