Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

Unaleta udaku wa SAUTI KUBWA hapa?
 
Mlimtoa Dr. Mipango mbiombio kuja kuwaprove watu wrong akiwa mgonjwa tena anakohoa.

Imeshindikana nini kufanya hivyo kwa huyu?

Mwaka juzi wakati amezushiwa ndani ya siku mbili tu alijitokeza na kuwaprove watu wrong, inashindikana nini sasa hivi?

Mnatumia nguvu kubwa sana.
 
Mawaziri wenu wote hawamfikii Mnyika.
Mnyika ana nini? Failure mkubwa? Alilaaniwa na Baba yake eti akajifanya kuhudhuria mazishi ya baba yake wakati alikuwa hana upendo naye eti mwaka jana akakimbilia Mwanza kujifanya ni Chief wa Wasukuma! Utopolo mtupu!!
 
Kwani lazima mbinu tulizotumia mwaka jana lazima zitumike tena this year??
 
Kupitia hili Saga, nimekushusha sana wewe dada! Nilikua nakuona wa maana kumbe mpuuzi.
Umeshupalia kifo kwa mtu kana kwamba utaishi milele.

CCM na JPM siwapendi ila sio level ya kumwombea kifo.
Hata mimi nimekushusha sana kwa ulicho comment,
 
CCM siwaelewi ila CHADEMA ndio wa ovyo Kabisa...kweli Lissu, Mbowe na Mnyika,to mention few,ndio wawe viongozi waandamizi wakichukua nchi, pathetic!!
 
Kwa kipi? College drop out? Kupewa shushi na Mbowe? Tujuze kwa tusiyo ya fahamu ya Mnyika. Au unamzungumzia Mnyika mwingine na siyo JJMnyika?.
Achana nae huyu Dada, kazi ya kulea vikongwe huko UK imemfanya awe na akili za ovyo ovyo tu.
 
Tunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiriwa na wananchi kisheria.

Mh. John Mnyika
Alafu mkishajua yuko wapi then?
 
Mawaziri wenu wote hawamfikii Mnyika.
Acha ujinga wewe mdada au we ndo mnyika mwenyewe? Nilini chadema wameanza kumpenda Jpm mpaka kumwulizia? Au wanataka kutia presha kusudi azidiwe hko alipo?
Kiongozi wa siasa huwezi kuita press kuongelea hali ya afya ya kiongozi wa nchi. Sio ustaarabu,si uungwana na si utu kabisaa!!
Chadema waache siasa za matukio,wajenge hoja za kuijenga nchi na kuinua maisha ya wananchi kisha wao wawe mfano.
Majuzi wamegombaniana ugali wa ubunge sasa wakokimya hawana maamuzi yamaana. Dira yao haieleweki watapotea vibaya kwa style hii!! Mnyika asimuige makonda alivyoropoka ile issue ya mbowe!! Hsikuwa busara pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…