Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Habari wanaJF,
Katibu Mkuu wa Chama Dkt. Vincent Mashinji, akiambatana na wasaidizi wake kutoka Makao Makuu ya Chama, mchana huu, amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam, kuitikia wito wa Jeshi la Polisi uliotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, kuwa anatakiwa kufika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Katibu Mkuu huyo wa CHADEMA alitakiwa kufika kituoni hapo kwaajili ya kuhojiwa kuhusu kauli yake aliyoitoa juu ya shambulio la kupigwa risasi kwa Mbunge Tundu Lissu.
Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa
======
UPDATES
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Mashinji amesema polisi wamemhoji wakitaka kujua kuhusu kauli zake za watu wasiojulikana kama anaweza kuwatambua.