Ulimi wamkaanga Mashinji wa CHADEMA ajisalimisha kwa Polisi kama alivyotakiwa kufanya

Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Chadema Bwana Tumaini Makeni amesema,Katibu Mkuu wa Chama Dkt. Vincent Mashinji, akiambatana na wasaidizi wake kutoka Makao Makuu ya Chama, mchana huu, amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam, kuitikia wito wa Jeshi la Polisi uliotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, kuwa anatakiwa kufika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Tutakupeni taarifa zaidi kadri itakavyowezekana. Asante.

*Makene*
 
Kwa akili za kawaida sana dereva wa Tundu angetakiwa na kila mwenye nia nzuri na Tundu atoe maelezo ambayo yangeweza kutoa mwanga katika uchunguzi. Nasema wenye nia njema nikiwajumlisha ndugu zake Tundu, CHADEMA, na wengine katika jamii kwa ujumla. Hii ni kwa sababu hao washambuliaji, bila kujali ni wa aina gani, wangeweza kumtumia dereva kufanikisha mpango wao ovu. Dereva hakujeruhiwa hata kidogo hiyo inawezekana ni bahati yake tu. Dereva kasema aliwaona au aliliona gari likimfuatilia toka wakitoka bungeni! Dereva anadai alimwomba Tundu asishuke kutoka kwenye gari walipofika nyumbani kwa Tundu. Kwa nini huyu dereva alipoona anafuatiliwa asijisalimishe polisi? Kwa nini asimwambie Tundu apige simu kwa mtu yeyote wakiwa njiani? Cha ajabu ni kuwa CHADEMA hawataki kusikia dereva akitakiwa kuhojiwa. Ya Mungu mengi. Naamini uchunguzi utagundua kitu hapa. Kumkimbiza Nairobi kutibiwa kisaikolojia wakati logically anatakiwa atoe taarifa muhimu is another puzzle.
Kuna watu wanatukuja na Povu hapa .. Imeandika yote yanayotakiw akuhojiwa na watu makini. Maana huyo Dereva singe toka nje kama asinge jua kinachoendelea. Ajiangalie na yeye atapotezwa soon.
 
We we
Miaka ile tunakua sisi wahenga, kaka zetu na majirani zetu waliokuwa wamemaliza form four na kutaga mayai viza kama Bashite, watu walikua wanauliza....yaani kafail hadi upolisi hawezi kwenda?!

Kile kizazi ndo sasa hivi ni maRPC, sjui maACP superitendants and all those big names wa sasa hivi. Kazi kwelikweli
ukdakwa unaanza kulialia watz wakuchangie.......hayo si matusi kwa baba Wa wenzio.
 
Kwa hiyo Mashinji ndo mwenye Nissan Police watanzania ni aibu tupu watajiweka pembeni na siasa lini wanafanya ki professor
 
Kwa akili za kawaida sana dereva wa Tundu angetakiwa na kila mwenye nia nzuri na Tundu atoe maelezo ambayo yangeweza kutoa mwanga katika uchunguzi. Nasema wenye nia njema nikiwajumlisha ndugu zake Tundu, CHADEMA, na wengine katika jamii kwa ujumla. Hii ni kwa sababu hao washambuliaji, bila kujali ni wa aina gani, wangeweza kumtumia dereva kufanikisha mpango wao ovu. Dereva hakujeruhiwa hata kidogo hiyo inawezekana ni bahati yake tu. Dereva kasema aliwaona au aliliona gari likimfuatilia toka wakitoka bungeni! Dereva anadai alimwomba Tundu asishuke kutoka kwenye gari walipofika nyumbani kwa Tundu. Kwa nini huyu dereva alipoona anafuatiliwa asijisalimishe polisi? Kwa nini asimwambie Tundu apige simu kwa mtu yeyote wakiwa njiani? Cha ajabu ni kuwa CHADEMA hawataki kusikia dereva akitakiwa kuhojiwa. Ya Mungu mengi. Naamini uchunguzi utagundua kitu hapa. Kumkimbiza Nairobi kutibiwa kisaikolojia wakati logically anatakiwa atoe taarifa muhimu is another puzzle.
Mbaya zaidi kwanini Mbowe hataki kucheza mbali na huyu Dereva?
 
Hoja hizi ndio zilezile za bwabwa jerry muro....nahisi na wewe mleta mada ushaambukizwa ubwabwa na kwa mujibu wa presdaa utakuwa unawashwawashwa kunako makalio so unatafuta ntu akukune....subiri walaji waja wakukule akili ikukae sawa.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
[HASHTAG]#ButWhatDoIKnow[/HASHTAG]

1. Nyumba ya Tundu Lissu pale area D ipo pembeni, karibu sana na nyumba ya Naibu Spika wa bunge.., Je, hawa watu waliweza vipi kufunguliwa geti kuingia na kutoka ASAP baada ya tukio?

2. Walinzi wa Nyumba ya Naibu Spika wa bunge, Je, hawakusikia milio ya risasi zaidi ya 32 na hata kuimarisha ulinzi mara moja? Ikawa vipi watu hawa wakapita getini tena baada ya shambulizi!?

3. Labda Tundu Lissu aliamini usalama wake ni kwenda area D (sensitive restricted area), Je, hawa watu (wahalifu) walionesha vitambulisho hadi kufunguliwa lango wakati wa kutoka—kuingia?

4. Gari iliyozibwa namba za usajili (plate number), inaruhusiwa vipi kupita kwenye lango lenye ulinzi wa polisi kwenda kwa
Naibu Spika wa bunge? ningependa kufahamu walieleza nini hadi kuruhusiwa kuingia ndani ya lane..

5. Tundu Lissu (labda) alifikiri sehemu salama ni kwenda eneo hilo (area D), ghafla kutahamaki, Nissan Patrol imeruhusiwa kupita Langoni kama kawaida, waliruhusiwa vipi watu wale?

6. Tundu Lissu asingeweza kushuka kwenye gari lake baada ya Nissan Patrol kuegesha pembeni yake (upande wake), tena kwa kuruhusiwa kupita Langoni., baada ya tukio, hawa watu waliondoka vipi hata baada ya milio ya risasi?

7. Je, wahalifu hao walikuwa na bunduki zenye viambata vya kuzuia sauti za risasi 'silencer' hata walinzi wasiweze kusikia mirindimo ya risasi zaidi ya 38, najaribu kujiuliza bila kupata majibu.

8. Kwa umakini wa Tundu Lissu, nataka kujaribu kuamini kwamba atakuwa lazima aliwasiliana na watu kadhaa (wa karibu) kutoa taarifa kuhusu kufuatiliwa na gari hilo, Nissan Patrol kutoka bungeni..

Anyways.., nilikuwa najaribu kujiuliza Maswali bila majibu, Tundu Lissu and his burden driver, survived the fraught skirmish (death—match) to tell tale, atatueleza ukweli wote kiumbe huyu... Let's Wait!
————————————

..., MMM

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haya ndio mazingira halisi ya eneo husika na kisha tukio kama lile likatokea basi tusahau tu. Maana kama hao watu wasiojulikana imeshindikana kujulikana katika mazira hayo basi hawatoweza kujulikana kamwe. Ilitakiwa hawa watu waitwe watu ambao hawatajulikana
 
Hapa tusifanyane watoto. Kuna kitu kisicho sawa yule dereva alishinda hospitali siku ya tukio, in maana polisi wameanza uchunguzi jana? walikuwa wansubiri nini siku zote hizo? mtu wa kwanza kuhojiwa tena siku ya tukio ilibidi awe Dereva kwa nini imewachukua siku zote hizo kutambua kuwa wana muhitaji dereva?
Wanamuhitaji ii wajuwe na wawe na uhakika kama anaweza ku unlock the cracked code of the watu wasiojulikana....wakigundua anajua na anaweza kuwataja basi wamuondowe duniani.....dereva atahojiwa na scotland yard kwenye independed upelelezi..huu wa policcm majibu yao mepesi yanajulikana...ifike wakati watu serious wafanye serious job for serious tanzanians.

Say naah to blaahblaah za watu wasiojulikana.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Yaani wewe, cocochanel, wakudadavua, tramadol akili zenu huwa zinatawaliwa na tumbo! Ila msingekuwa tumbo linawatawala, MNA akili nzuri sana !

Ya tumbo yanaingiaje kwangu.. kwani wewe tumbo lako ndio kwa hayo umeandika au nawe unawashwa washwa!?

Ha ha haaaaa hadi raha kuandika washwa washwa...

Magufuli oyeeeeeee
 
Hoja hizi ndio zilezile za bwabwa jerry muro....nahisi na wewe mleta mada ushaambukizwa ubwabwa na kwa mujibu wa presdaa utakuwa unawashwawashwa kunako makalio so unatafuta ntu akukune....subiri walaji waja wakukule akili ikukae sawa.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Jitahidi kuvumbua matusi. Hiki ni kipimo tosha kuwa mada imezidi uwezo wako.
 
Kwa akili za kawaida sana dereva wa Tundu angetakiwa na kila mwenye nia nzuri na Tundu atoe maelezo ambayo yangeweza kutoa mwanga katika uchunguzi. Nasema wenye nia njema nikiwajumlisha ndugu zake Tundu, CHADEMA, na wengine katika jamii kwa ujumla. Hii ni kwa sababu hao washambuliaji, bila kujali ni wa aina gani, wangeweza kumtumia dereva kufanikisha mpango wao ovu. Dereva hakujeruhiwa hata kidogo hiyo inawezekana ni bahati yake tu. Dereva kasema aliwaona au aliliona gari likimfuatilia toka wakitoka bungeni! Dereva anadai alimwomba Tundu asishuke kutoka kwenye gari walipofika nyumbani kwa Tundu. Kwa nini huyu dereva alipoona anafuatiliwa asijisalimishe polisi? Kwa nini asimwambie Tundu apige simu kwa mtu yeyote wakiwa njiani? Cha ajabu ni kuwa CHADEMA hawataki kusikia dereva akitakiwa kuhojiwa. Ya Mungu mengi. Naamini uchunguzi utagundua kitu hapa. Kumkimbiza Nairobi kutibiwa kisaikolojia wakati logically anatakiwa atoe taarifa muhimu is another puzzle.[/QUOTE
Sawa,huko Nairobi kaenda lini?
 
Jinsi ambavyo police wamelichukulia suala hili la Lissu ukweli wengine tunapata maswali mengi sana; Hivi kama NIA ya uchunguzi wa wavamizi wale ingekua IPO, kwanini dereva hakuchukuliwa the same day ili walau atoe mwanga wa kile kilicho tokea? Leo tunaambiwa dereva kapotea? Kina Mbowe wameisha sema dereva wanae Nairobi kwa ajili ya ushauri wa kisaikolojia (kwenye makampuni makubwa hili ni jambo la kawaida sana kuwafanyia wafanyakazi wao wapatapo jambo gumu kama lile shambulizi), sasa Je, kina Mbowe wamtoreshe so what? But again, kwanini police hawakumchukua siku ile ile hadi watu wapige kelele? Mimi siamini kama dereva Adam alikimbia, Adamu kasafiri kama wasafiri wengine tu cause wito wa kwenda police umefanyika akiwa tayari yupo nje ya Tanzania.
Lakini hivi pale alipopigiwa Lissu si kuna askari/walinzi wengi tu, hivi kuna hata 1 amechukuliwa ili atoe walau maelezo? Na je, yale majengo/makazi, ni kweli kwamba hayana CCTV cameras? Tunasikia pia gari lililotumika kumpeleka Lissu hospitali ya Dodoma ni la mkubwa mmoja hivi wa nchi, Je ameitwa na yeye kueleza kile alicho kisikia au kukiona!?

Wauaji wajue tu kwamba wote sisi hapa duniani tupo kwa muda, ipo siku tutakufa tu. Imeandikwa, "Auaye kwa upanga kwa UPANGA atakufa" Maneno haya nakumbuka aliyasema waziri mkuu mstaafu Dr. Salim Ahmed Salim baada ya kifo cha Samuel Doe wa Liberia kama sio kifo cha Laurent Kabila wa Congo. Bado nayakumbuka sana maneno yale ya hekima
 
Kwa akili za kawaida sana dereva wa Tundu angetakiwa na kila mwenye nia nzuri na Tundu atoe maelezo ambayo yangeweza kutoa mwanga katika uchunguzi. Nasema wenye nia njema nikiwajumlisha ndugu zake Tundu, CHADEMA, na wengine katika jamii kwa ujumla. Hii ni kwa sababu hao washambuliaji, bila kujali ni wa aina gani, wangeweza kumtumia dereva kufanikisha mpango wao ovu. Dereva hakujeruhiwa hata kidogo hiyo inawezekana ni bahati yake tu. Dereva kasema aliwaona au aliliona gari likimfuatilia toka wakitoka bungeni! Dereva anadai alimwomba Tundu asishuke kutoka kwenye gari walipofika nyumbani kwa Tundu. Kwa nini huyu dereva alipoona anafuatiliwa asijisalimishe polisi? Kwa nini asimwambie Tundu apige simu kwa mtu yeyote wakiwa njiani? Cha ajabu ni kuwa CHADEMA hawataki kusikia dereva akitakiwa kuhojiwa. Ya Mungu mengi. Naamini uchunguzi utagundua kitu hapa. Kumkimbiza Nairobi kutibiwa kisaikolojia wakati logically anatakiwa atoe taarifa muhimu is another puzzle.

Wale walinzi wa FFU wanaolinda nyumba za serikali wameishaulizwa??
 
Back
Top Bottom