kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
polisi ipo chini ya serikali ya chama cha mapinduzi!Zile za jecha?, kama mko vizuri mbona mnaweweswa na kipeperushi?, alafu imetajwa tume na polisi nyie yamewafikaje? Ama ndo ile POLICCM?
polisi ipo chini ya serikali ya chama cha mapinduzi!Zile za jecha?, kama mko vizuri mbona mnaweweswa na kipeperushi?, alafu imetajwa tume na polisi nyie yamewafikaje? Ama ndo ile POLICCM?
Kwani wewe ndio balozi wa amerika!Anacho angalia ni kupiga zumari kumfurahisha bwana mkubwa na mkono uende kinywani
Mkuu nimeamini adui yako muombee njaaMtu kamamtatiro hakuna aliyetegemea aisee lakini yawezekana atakayeikomboa nchi hii hata asiwe msomi trust me. Time will tell
Hichi kijamaa mbona hakitaki kuvaa shati la kijani?Mbona hapa hana ndevuView attachment 839444
Kaulize ubaloziniKwani wewe ndio balozi wa amerika!
UK ni rafiki yetu wa karibu huoni pia anawalisha wakimbizi wetu wengi wao kutoka Cuf.ambao wako huko.Uingereza juzi kutoa Mabilioni ya msaada
Hawa dawa ni kuwanyima mikopo na misaada.
Njaa mbaya sana. Ingekua mbowe ametokea kwenye umasikini mkuu mpaka leo ingekua hadithi nyingine wanahangaika nae sanalakini wapi inakataa.Mkuu nimeamini adui yako muombee njaa
Ujumbe umefika gogoNAKUSHUKURU MSTAAFU KIKWETE View attachment 839408
Ndiyo maana kila kukicha unaona vibaraka wao wanazidi kumuandama mh Mbowe maana ndiyo kikwazo kwao katika kusambaratisha upinzaniNjaa mbaya sana. Ingekua mbowe ametokea kwenye umasikini mkuu mpaka leo ingekua hadithi nyingine wanahangaika nae sanalakini wapi inakataa.
Anajua sema tu siasa ikisha chemka kuchwani basi unasema lolote kufurahisha kadamnasiKweli huyo ni katibu mkuu wa CCM juzi Uingereza imetoa bilioni 350 kwenye Elimu na Afya je anafahamu USA [emoji631] ikitamka kwamba Taifa lolote linalofanya biahashara na Tanzania lisifanye biahashara na Marekani hata wachina huwezi kuwaona kweli Bashiru nalo halijui hili Afrika Daah aliyeturoga kafa
Mikopo kwani inatoka huko tu?? Wakifunga wao ndio utajua tuna marafiki wangapi wakweli sio kila mtu anajitangaza...watu tushavurugwa hatuogopi yyte siku zote ujue ukiona swala anaringa mbugani ujue bwana ake simba hahaaaaHawa dawa ni kuwanyima mikopo na misaada.
Define diplomasia, unaejikuta unajua sana.Ilikuwa enzi za Nyerere sio hizi za jiwe ambaye hajui hata maana ya diplomasia.
Hawataweza kamwe. Never on earthNdiyo maana kila kukicha unaona vibaraka wao wanazidi kumuandama mh Mbowe maana ndiyo kikwazo kwao katika kusambaratisha upinzani
Ni ukweliUmeishiwa point za kuchangia.
Mbowe anaandamwa kwa kuwa anaudhoofisha upinzani baada ya kuunganisha ukawa cuf ipo wapi nccr halikadhalika NLD vimebaki historia amuachie lowassa aone kama ataandamwa!Ndiyo maana kila kukicha unaona vibaraka wao wanazidi kumuandama mh Mbowe maana ndiyo kikwazo kwao katika kusambaratisha upinzani