Akiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.
Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.
Naona tumeanza kuota ndevu sasa.