Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Bashiru wa sasa ni wa kumpuuza tu amebaki kuwa spika ya chama chake tu.Alisema wazi alipoteuliwa kwamba misamamo yake sasa itakuwa ni ya chama tu.
 
Tafsiri yake ni kwamba Nyundo Imegonga kwenye msumari ''The truth Pains'' Tuna hitaji Uchaguzi Huru na wa Haki
 
Habari za chini wapi umbea tu watoto wa kiume, ndio maana mnaliwa. Trump hajateua balozi Tz, pumbavu kabisa. Moto wa gesi my feet, used to respect you, no more.
Wewe mbona unatafunwa ?
 
W
Akiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.

Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.

Naona tumeanza kuota ndevu sasa.
Yaani hawa akina Bashiru wanafanya ukaburu dhidi ya demokrasia halafu wanajifanya wana ndevu Saba!!!!. Wamuulize Mugabe anapumulia mashine gani!!!?
Nyerere alikuwa maskini jeuri katika haki, hawa wanatutenda maovu halafu wakikemewa wanajificha
nyuma ya kichaka Cha "Taifa huru"
 
Wacha wajidanganye kuwa watatawala milele
 
Back
Top Bottom