Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Huku mitaani wanatuonesha sharubu sisi,
Ukiona hivi ujue wameshaenda ofisini kwao kinyume nyume wamepinda mgongo na suruali chini ya goti
Kama vile barazuli kachimbiwa mkwara na basha wake baadae anaenda kumjibu mbele ya mkewe akirudi kwa Bwana wake anaomba msamaha
 
Wao ndio watajifunza kwa magufuli kufanya yale ambayo yalionekana sio rahisi kufanyika tz..ila magu kayafanya

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
Na mabaya ya Magufuli pia watajifunza yakiwamo ya mauaji, utekaji, watu kupigwa risasi hadharani ambayo yameshamiri kipindi chake, kuzuia uhuru wa kujieleza nk.
 
Huku mitaani tu wanatuonsha sharubu sisi,
Ukiona hivi ujue wameshaenda ofisini kwao kinyume nyume wamepinda mgongo na suruali chini ya goti
Bila picha utakuwa ni uongo.
 
“Taifa letu ni huru na litaongozwa kwa mujibu wa sharia, balozi
zetu ziheshimu uhuru wetu…hakuna taifa jingine lenye mamlaka ya kuingilia
masuala ya ndani ya Tanzania,” ni kauli ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
CCM Dokta Bashiru Ali.

My Take;

Uhuru gani wa kukata watu mapanga?

Uhuru gani wa kuiba kura mnataka?

Uhuru gani wa kupoteza wanaowakosoa?

Uhuru gani wa kubana vyama vya upinzani?

Ni Uhuru wa Wanaccm sio Uhuru wa Watanzania wapenda haki.

Yaani uhuru mnaoutaka ni watu wafe, wauawe, watekwe, wapinzani wa kisiasa watishiwe maisha na kupigwa risasi bado balozi za kimataifa zikae kimya? Huo sio uhuru mnaoutaka bali ni ushetani. Tutazidi kukemea maovu na mabaya, tutaendela kuwakosoa hadi mtakapojirekebisha. Hatutawapa uhuru mnaotuka wa kuteketeza Watanzania wenzetu.
 
Bashiru apuuzwe hawa hawaijui US waangalie TURKEY kinachowapata sasa
 
Vunjeni uhusiano wa kibalozi tuone mnamaanisha
 
Back
Top Bottom