Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Ukweli ndio huo. Sisi ni nchi huru, tunajiamulia mambo yetu wenyewe na uongozi wetu mahiri chini ya jemedari wetu JKN II. Watuache na maujinga yao kabisaaaaaaa
Omba mungu haya maandishi yako yasifike ofisi ya ubalozi
FB_IMG_1534586973942.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.

Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.

Naona tumeanza kuota ndevu sasa.


Siku vipeperushi vya mitaani vitaingia mijini ndipo atatishika?
 
Mwambieni Marekani ni chai na Tanzania ni mkate;kwaiyo kwa muktadha huo "hakuna mkate mgumu mbele ya chai"
 
Wafuate mambo yao,Putin anataka kukutana na kiduku halafu marekani wapo wanatushangaa sisi
 
Kama mlivyotorosha wanyama hai na wengine meli zao kukamatwa ughaibuni zikiwa na meno ya teembo
Sasa si tutabaki na meno ya simba, chui, nyati na wengineo...halafu kuhusu twiga si tutabaki na pundamilia na wengineo..au umesahau methali isemayo kimfaacho mtu chake??
 
Ukweli ndio huo. Sisi ni nchi huru, tunajiamulia mambo yetu wenyewe na uongozi wetu mahiri chini ya jemedari wetu JKN II. Watuache na maujinga yao kabisaaaaaaa
Naona mbwa wanambwekea simba aliyeunguruma mara moja huku mikia wameificha katikati ya miguu
 
Nilivyomsikiliza siku akijibu maswali ya waandishi wa habari nilijua kuwa "mbwa mbwekaji" kaajiriwa!
Hakuna akili yeyote inayotumika,u_dokta wa darasani na siasa ni kama mbingu na dunia. SCRAP!
Ndio tatizo la mwanaharakati mwenye njaa kupewa cheo kwenye siasa
 
Back
Top Bottom