Ushapoteza mjadala.Mwambie mhutu US ni bwana wake apende asipende atapiga goti kuomba msaada akikaidi dk 5 ni nyingi atakuwa karudi kwako Burundi
Ukiendelea kumnyanyasa huyo mbwa iko siku uvumilivu utafikia mwisho wake na hapo utaelewa jeuri ya mbwa kwa amfugae!Mbwa hawezi kuwa jeuri Kwa amfugae
Habari za chini ya kapeti zinasema alitaka kumfukuza balozi wa Marekani akaambiwa usicheze na moto wa gesi.Ila Jiwe katulia round hii
Hawajamwita kaimu balozi
Bila ligi maisha ni magumuIla Jiwe katulia round hii
Hawajamwita kaimu balozi
Huyu naye kashalishwa sumu ya lumumba wallahiAkiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.
Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.
Naona tumeanza kuota ndevu sasa.
Teeeeeeeeeh Teeeeeeeeeh TeeeeeeeehHata sisi tuna Makombora ya Masafa marefu ifikie hatua tuwe kama N. Korea.
Kwisha habari yao itawabidi wapige magotiHawa dawa ni kuwanyima mikopo na misaada.
Mkuu tusiwalinganishe Kiduku na wabongoUnanikumbusha vita ya maneno ya Trump na Kiduku.
Bajeti yao bila wao inadodatena ni jeuri tu , hawana hata thumni .
Wache waone midomo mirefu itakavyo waponzaYatima hadeki!
Daaaa nimecheka sana ingawa sikukusudia kuchekaMakombora ya wazungu ni kukunyima misaada ikiwemo na ARVS , ukumbuke kwamba 95% ya viongozi wako wanaishi kwa kutumia nguvu ya hiyo kitu kutokana na mikesha ya mwenge
Wewe ni sawa na kunguni hapo lumumbaHiki kisiwe kichaka cha mboe kujificha ili tusimuhoji kwa nini chama kinakimbiwa na wabunge na madiwani wake.
#Mbowe must Go
Naona umepata mzukaUkweli ndio huo. Sisi ni nchi huru, tunajiamulia mambo yetu wenyewe na uongozi wetu mahiri chini ya jemedari wetu JKN II. Watuache na maujinga yao kabisaaaaaaa
Kina mkunboDr Bashiri siku hizi amegeuka kuwa upande wa dhuluma! Daah hili tumbo ni noma sana
Unaweweseka wewe kazi yako ni kucheza sindimba ili wakubwa wanywe gahawaKidiplomasia tuko juu hata ya Korea kaskazini.
Umenikumbusha mbali saaanaMzee wa kikombe cha babu yupo atatusaidia kutoa dozi