Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Washadadiaji wa Matamko hatujifunzi. Ingalikuwa matamko ya Taasisi na balozi mbalimbali ndio suluhisho ya mabadiliko, Dr Shein leo asingalikuwa Rais wa Zanzibar. Nachokiona siku zote, matamko yanasaidia kupoza mioyo ya waathirika na kutoa matumaini hewa. Pamoja na matamko ya EU toka 2015 juu ya uchaguzi hadi utawala wa JPM, Pamoja na wapinzani kusambaza mapicha wakiwa ofisi za balozi hizo wakiwa na flash za Nassari, usingetarajia Uingereza juzi kutoa Mabilioni ya msaada ktk Elimu, mapambano ya rushwa kwa Dikteta😂😂😂
 
Washadadiaji wa Matamko hatujifunzi. Ingalikuwa matamko ya Taasisi na balozi mbalimbali ndio suluhisho ya mabadiliko, Dr Shein leo asingalikuwa Rais wa Zanzibar. Nachokiona siku zote, matamko yanasaidia kupoza mioyo ya waathirika na kutoa matumaini hewa. Pamoja na matamko ya EU toka 2015 juu ya uchaguzi hadi utawala wa JPM, Pamoja na wapinzani kusambaza mapicha wakiwa ofisi za balozi hizo wakiwa na flash za Nassari, usingetarajia Uingereza juzi kutoa Mabilioni ya msaada ktk Elimu, mapambano ya rushwa kwa Dikteta[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Id yako inakuhukumu
 
Shamra Shamra za kampeni hizo,kila chama kilifanya vituko,ninazo picha za makamanda wako Kiroba balaa!!..huku wamelala mitaroni bila suruali...niziweke hapa?!!
Basi tuanze kuziweka kama hukuhama jukwaa na kwenda fb uliko zoea
 
Nashauri hayo majibu yao wawe wanayatoa kwa lugha yetu pendwa ya kiinglish ili ujumbe wao uweze kumfikia bwana Donald Trump immediately, vinginevyo hizo ni ngonjera tu.
 
Ni kweli tangu 95 ni matamko na serikali imeendelea kuwa imara na chaguzi zimefanywa walioshindwa wametulia!
Zile za jecha?, kama mko vizuri mbona mnaweweswa na kipeperushi?, alafu imetajwa tume na polisi nyie yamewafikaje? Ama ndo ile POLICCM?
 
Huyu Bashirru Ally heshima aliyokuwa nayo nyuma sasa imkwisha kabisa, hapo alipo ANAJIDHALILISHA TU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Anacho angalia ni kupiga zumari kumfurahisha bwana mkubwa na mkono uende kinywani
 
Huyu Bashirru Ally heshima aliyokuwa nayo nyuma sasa imkwisha kabisa, hapo alipo ANAJIDHALILISHA TU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Ngoja uchaguzi mkuu pia mtasema nchi nzima inajidhalilisha.
 
Back
Top Bottom