Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Hivi huyu Bashiru no problem muimslam safi kweli?kumbe Jk angalau alikua fair
 
Ilikuwa enzi za Nyerere sio hizi za jiwe ambaye hujui hata maana ya diplomasia.
Kikwete mlikuwa mnamshambulia kwa Uanadiplomasia wake..na sasa Magufuli nyinyi hakuna wa kuwaridhisha.
 
Kikwete mlikuwa mnamshambulia kwa Uanadiplomasia wake..na sasa Magufuli nyinyi hakuna wa kuwaridhisha.
Too much of everything is harmful, upole ukizidi sana unakuwa ujinga ukali ukizidi sana unakuwa wehu kisiasa unaitwa udikteta.
 
Uzuri Magufuli bado umri unamruhusu kushuhudia hata serikali 3 au 4 zijazo nafikiri atajifunza kitu labda abadilishe katiba atawale milele.
Wao ndio watajifunza kwa magufuli kufanya yale ambayo yalionekana sio rahisi kufanyika tz..ila magu kayafanya

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom