Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Mikopo kwani inatoka huko tu?? Wakifunga wao ndio utajua tuna marafiki wangapi wakweli sio kila mtu anajitangaza...watu tushavurugwa hatuogopi yyte siku zote ujue ukiona swala anaringa mbugani ujue bwana ake simba hahaaaa
Mchina hana muda na wewe kipindi maliasili zikikwishia
 
Na mabaya ya Magufuli pia watajifunza yakiwamo ya mauaji, utekaji, watu kupigwa risasi hadharani ambayo yameshamiri kipindi chake, kuzuia uhuru wa kujieleza nk.
Mnakuza sana haya mambo mazee, na wananchi neutral ndio wanawatenga kwa hizi tuhuma, hivi kuna awamu haya mambo hayakutokea? Why mnayakuza sana now na kuyatumia kumchapa viboko na kumkatisha tamaa mtu anaejitahidi sana kuleta maendeleo nchini mwake.
Nawaapia kifo chenu mtakishuhudia, come 2020. And i will be vry glad.
 
Diplomasia imekua ngumu jiwe na vijana wake wanajiona wako Juu sana poor bashiru.polepole nk
 
Mbowe anaandamwa kwa kuwa anaudhoofisha upinzani baada ya kuunganisha ukawa cuf ipo wapi nccr halikadhalika NLD vimebaki historia amuachie lowassa aone kama ataandamwa!
Huna faida hata kwa ndugu zako wewe kiwewe
 
“Taifa letu ni huru na litaongozwa kwa mujibu wa sharia, balozi
zetu ziheshimu uhuru wetu…hakuna taifa jingine lenye mamlaka ya kuingilia
masuala ya ndani ya Tanzania,” ni kauli ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
CCM Dokta Bashiru Ali.

My Take;

Uhuru gani wa kukata watu mapanga?

Uhuru gani wa kuiba kura mnataka?

Uhuru gani wa kupoteza wanaowakosoa?

Uhuru gani wa kubana vyama vya upinzani?

Ni Uhuru wa Wanaccm sio Uhuru wa Watanzania wapenda haki.

Yaani uhuru mnaoutaka ni watu wafe, wauawe, watekwe, wapinzani wa kisiasa watishiwe maisha na kupigwa risasi bado balozi za kimataifa zikae kimya? Huo sio uhuru mnaoutaka bali ni ushetani. Tutazidi kukemea maovu na mabaya, tutaendela kuwakosoa hadi mtakapojirekebisha. Hatutawapa uhuru mnaotuka wa kuteketeza Watanzania wenzetu.
Nani kakatwa mapanga na serikali
 
Mwambie mhutu US ni bwana wake apende asipende atapiga goti kuomba msaada akikaidi dk 5 ni nyingi atakuwa karudi kwako Burundi
In your wet dreams, hili jembe lipo hadi 2025, na ndio litaua kabisa upinzani fake 2020. Ishi ushuhudie.
 
Makombora ya wazungu ni kukunyima misaada ikiwemo na ARVS , ukumbuke kwamba 95% ya viongozi wako wanaishi kwa kutumia nguvu ya hiyo kitu kutokana na mikesha ya mwenge
Nimecheka utafikiri mazuri. ARV ndio nguvu yao kumbe..hahahh mwenge huuu kha!
 
Habari za chini ya kapeti zinasema alitaka kumfukuza balozi wa Marekani akaambiwa usicheze na moto wa gesi.
Habari za chini wapi umbea tu watoto wa kiume, ndio maana mnaliwa. Trump hajateua balozi Tz, pumbavu kabisa. Moto wa gesi my feet, used to respect you, no more.
 
Huyo hajaanza leo kuwachukia US, hii ni kutokana na imani yake! Fuatilia mijadala yake ya nyuma utamwelewa anaelemea wapi kwenye udini
 
Hiki kisiwe kichaka cha mboe kujificha ili tusimuhoji kwa nini chama kinakimbiwa na wabunge na madiwani wake.

#Mbowe must Go
Wewe ndo wapaswa kwenda. Pumbavu! Umefanya nini kwa chama wewe mwanachama feki. Hangaika
Akiwa Zanzibar leo kwa ziara ya kujitambulisha Dr. Bashiru Ally amesema Tanzania ni nchi huru inaheshimu mataifa rafiki ya nje lakini haitishwi na matamko ya nchi yeyote, ameyafananisha matamko hayo na vipeperushi vya mitaani.

Nafikiri alikuwa anaujibu ubalozi wa Marekani ambao hivi karibuni umetoa tamko la kulaani jinsi Tume ya uchaguzi, polisi na serikali kwa jumla wanavyonyanyasa wapinzani wakati wa uchaguzi.

Naona tumeanza kuota ndevu sasa.
Lumumba ishamuharibu huyu. Mashati ya kijani ukiyavaa tu unaishiwa akili. Afterall US ilikuwa ikiiambia serikali na vyombo vyake, wewe kwenye chama unasema hutishwi, umeambiwa wewe?! Hii kijinai, ni dhahiri ccm ni wezi wa uchaguzi sasa mnajaribu kujifunika kwenye blanket la state sovereignty. Kwenye haki za binadamu hilo blanketi halitokusitiri. Msemaji wa serikali alidai anafuatilia kwa karibu ajibu, bahati mbaya amekosa majibu, katulia. Tume nayo ikajitosa, ikajikuta badala ya kujibu ikajivua nguo kwani tamko lake lilikosa taste ya counter statement. Sasa uone ni jinsi haki za binadamu zilivyo sharp edged ukicheza tu umekwisha. Bashiru aache kiburi, achambue hoja kama akivyokuwa hapo awali. Mwenzake #DkBansenBurner kajitosa ktk sakata hili lakini kashindwa naye anajificha kwenye hiyo principle of state sovereignty, kafeli.
#TunatakaTumeHuruYaUchaguzi
 
Back
Top Bottom