Nyakati zimetimia
Nyakati zimetimia
Jamaa hataki Kunguni
Hayo matumizi ya kawaida ni kulala kwenye mahotel ya kifahari, posho nono na safari.Katiba mpya itaondoa UHUNI huu, haiwezekana tukapata maendeleo kwa bajeti za KIJUHA namna hii
View attachment 2509545
View attachment 2509546