Kwa tamaa zao hata wangeambiwa wakaapishwe chooni wangekubali tu kama ulivyosema almradi kiwe choo cha bunge.Katiba inatamka kuapa bungeni .Haijasema wataapa mbele ya wa wabunge!!!!
bungeni ni kwenye majengo ya bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la bunge au bafu ya bunge ili mradi ni bungeni sababu katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa bunge inasema tu bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya bunge wakaapishwa
Katiba inatamka kuapa bungeni .Haijasema wataapa mbele ya wa wabunge!!!!
bungeni ni kwenye majengo ya bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la bunge au bafu ya bunge ili mradi ni bungeni sababu katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa bunge inasema tu bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya bunge wakaapishwa
Katiba inaposema bungeni inamaanisha locationMtatafuta hadi maandiko katika magazeti ya Sani na Kiu kuharalisha upuuzi wenu.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Huwezi kusema upuuzi bila kuwadema Makamanda waliasi na kuapaMtatafuta hadi maandiko katika magazeti ya Sani na Kiu kuharalisha upuuzi wenu.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Yaani jamaa wana roho ya kwa nini, wao wamekosa ulaji basi wanataka woote wakose. Hebu waachieni wadada wafaidipo.
Usomaji wako wa katiba na tafasri yake uba walakiniSiasa za CCP zitawatokea puani,halafu hao wachina ni janja janja tu. Kwani mngewaachia wapinzani viti 100-150 mngepungikiwa na nini?
Ulafi wenu wa madaraka na hii tabia ya Magufuli ya kupenda kusikia yale abayoyapenda tu na kushindwa kuhimili kusikia yale hasiyoyapenda itatuzidishia njaa sisi wananchi wa kawaida. Njaa ikikolea hawa Watanzania wapole watawabadilikia na kuingia mtaani bila ya kuambiwa na mwanasiasa yoyote,njaa uzaa ujasiri.
Usomaji wako wa katiba na tafasri yake uba walakini
Mkuu kwani tafsiri ya bunge ni nini hasa, je ni jengo au ni chombo?Katiba inatamka kuapa bungeni .Haijasema wataapa mbele ya wa wabunge!!!!
bungeni ni kwenye majengo ya bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la bunge au bafu ya bunge ili mradi ni bungeni sababu katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa bunge inasema tu bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya bunge wakaapishwa
Akili zina wenyewe.CCM wamecheza rafu za kipumbavu sana. Mbona chaguzi za huko nyuma walikuwa wanajua kula na kipofu? Walikuwa wanacheza rafu zenye akili.
CCM kama wamecheza basi usiwachukie wao, chukia mchezo walioucheza.CCM wamecheza rafu za kipumbavu sana. Mbona chaguzi za huko nyuma walikuwa wanajua kula na kipofu? Walikuwa wanacheza rafu zenye akili.