Baada ya Mhe. Tundu Lissu kuukwaa urais TLS, kuna watu wanadhani sasa ndio matatizo yote ya kisheria, Lissu atacama liza, no way, japo Lissu is brilliant lawyer, ila Lisu kama mwanasheria is not panacea wa matatizo yote ya kisheria yanayolikabili taifa hili, one thing for sure that Lissu will do to TLS, he'll make TLS being felt kuwa it really exist, before that, TLS ilikuwa ipo ipo tuu kama haipa kwa Tundu Lissu ni mzuri zaid kwenye siasa kuliko kwenye sheria. Hivyo kuwa rais wa TLS usitegemee makubwa sana kivile kwa sababu Lissu needs guidence kama alivyo Magufuli!, they are both too impulsive, hivyo tusimtegemee awe kama Malaika, asije kuipeleka TLS chaka kama alivyoipeleka chaka Chadema kwenye Katiba.
Paskali