Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Nunua gari kulingana na uchumi wako....hizo zingine mbwembwe...gari hazina gender...ni akili za watu tu
Tz 11 shida tupu. Gari ina heshima yake bana..
Tunaomba kujua jinsia yako maana hizo gari(baby walker) ni za kike, kwa fuel consumption ziko too economy kama bajaji na mara nyingi magari hayo hutumiwa na majobless na wanawake magoalkeeper
ndio gari za kijanja hizo unachotakiwa kuifunga woofer ule mziki ukiwa unaendesha...sio unakua na gari unashindwa hata kupiga misele kwenye foleni unaizima...vitz advantage yake over passo ni ngumu otherwise ni gari ile ile..
Mkuu hii buti lazma ijae mziki tu, hakuna kingine.
Hizo zote ni gari za Wanawake!
mkuu hata picha huoni
HahahahahahahahaYenye Heshima Ni " HUMMER " Peke Yake Na Hizo Zingine Hazina Tofauti Na Bajaji Na Siku Nyingine Ukija Humu Uje Na Idea Za Benz, Lamborgine, Jaguar, BMW, Helicopter Na Ndege Tena Nayo Ni Ile Aina Ya Concord Tu Sawa?
Mkuu hapo naona umewasulubu wengi,hizo gari ulizotaja humu jf sijui wangapi wanazo.