Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Passo is a pure domestic urban car conducive for Japanese way of life. Hata vitz ni sama category. These a called green cars zinatumia mafuta kidogo sana less material to manufacture meaning clean environment. Sasa sisi tunazungumzia ni magari ya kike!
 
Mashine hizi hivyo vivits na vipaso waachieni watoto
 
Attachments

  • 1434891032687.jpg
    1434891032687.jpg
    73.1 KB · Views: 923
Wanaoponda haya magari wengi wao wachimba chumvi, a.k.a sizitaki mbichi hizi. Hawana ata uwezo wa pikipiki ya TOYO
Hata kama hana la msingi ni kuwa mkweli vtz passo swift hayo yote ni magar yetu sisi wenye kipato cha chini! jamaa yeye kauliza gar ya heshima sio hizo mkuu
 
Habar zenu wadau. Kwa mtazamo wangu naona Vitz ina heshima. Passo kitu gani kwanza wameniboa walivoeka staff gear. Ndani mpangilio wa viti umekaa cheap sana. Big up Vitz.

Inategemea ni Jinsia gani.

Ila kwa kukusaida tu,ni kwamba Zoote hizo ni za Kike.

Tusitafutane.We kaa Morogoro road angalia katika kila 10,moja ndio man.
 
...passo/vitz n.k ni usafiri , ukitaka gari LA heshima andaa bajeti kuanzia million hamsini angalau...
 
Wewe nunua gari ambayo utaimudu bei, mafuta, spea, matengenezo, hayo mambo sijui gari za kike achana nayo watu tumetofautiana kuna wengine watoto wa mafisadi usishindane nao.
 
Habar zenu wadau. Kwa mtazamo wangu naona Vitz ina heshima. Passo kitu gani kwanza wameniboa walivoeka staff gear. Ndani mpangilio wa viti umekaa cheap sana. Big up Vitz.

Yenye Heshima Ni " HUMMER " Peke Yake Na Hizo Zingine Hazina Tofauti Na Bajaji Na Siku Nyingine Ukija Humu Uje Na Idea Za Benz, Lamborgine, Jaguar, BMW, Helicopter Na Ndege Tena Nayo Ni Ile Aina Ya Concord Tu Sawa?
 
Mkuu hapo naona umewasulubu wengi,hizo gari ulizotaja humu jf sijui wangapi wanazo.
 
Passo na vitz ni just usafiri na siyo gari ,gari bwana huanzia angalau cc 1300 kuendelea chini ya hapo ni baby walker tu
 
jamani nauliza ulaji wa mafuta wa gari zote hizi mbili paso na vits

Tunaomba kujua jinsia yako maana hizo gari(baby walker) ni za kike, kwa fuel consumption ziko too economy kama bajaji na mara nyingi magari hayo hutumiwa na majobless na wanawake magoalkeeper
 
Back
Top Bottom