Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Hizo zote ni gari za Wanawake!

...MASABURI ni kiongozi mmoja mkubwa tu katika halimashauri ya manispaa ya Kinondoni. Lilipoibubuka suala la uzwaji holela wa UDA (Usafiri Dar es salaam) viongozi ndani ya manispaa wakaanza kuthumiana. Didas Masaburi, kujibu mapigo, akatumia media kuwashambulia mahasimu wake akiwemo Zungu-mb, kuwa wanafikiria kwa kutumia makalio. baada ya kuwatukana, hivyo, hapa JF, ukiandika kitu halafu mtu asikubaliane na wewe, anaamini hujafikiri kwa kutumia kichwa chako, bali umetumia makalio. Kupunguza ukali wa maneno, basi atakucoment, umetumia UMASABURI- yaani umefikiri kwa makalio na sio kichwa. Ndivyo ninavyofahamu
 
Hamna lenye nafuu mkuu vitz na passo ni mojawapo kati ya nyenzo za usafiri ila hayapo katika kundi la magari.
 
Sana mkuu. Iyo 14 inch ni screen au

hapana mdau...ni saizi tu ya woofer (urefu)...ukiweka kubwa sana unaeza ukahisi vioo vya gari vinataka kupasuka..gari za style hiyo (station wagon) mziki waga unakubali sana..
 
Sawa. Una uwezo wa kuwa nayo?

Tangu nilipoandika kuwa vitz na passo zote ni gari za wanawake. Watoto wa kiume wanamiliki gari hizo wananishambulia sn. Sijui nijifiche wapi
 
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images

Tusiwe isolated, tuujue ulimwengu na kinachoendelea. Hizo Vitz na Paso ni kubwa sana ukilinganisha na sample nilizoeleta hapo juu gari zinazopendwa na wengi sasa. Gari gharama nafuu na baada ya miaka kati ya saba na kumi unanunua chuma kipya kingine kinachoendana na wakati.

Kuna bado ambao tunafikiria ya karne iliyopita. Gazi hizo ndizo zinazotamba katika ulimwengu wa nchi zilizoendelea kwa sifa sifuatazo:

  1. Hutumia Petrol kidogo sana.
  2. Nyingi hutumia umeme badala ya fuel.
  3. Parking haina shida.
  4. Parts sio ghali.
  5. Hununuliwa kwa gharama nafuu.
  6. Gari inayofaa kwenda nayo kazini sababu abiria mmoja hakuan sababu kuwa na gari kubwa.

Hayo na mengine hufanya magari hayo yapendwe na wengi hata wenye nafasi nzuri hupendelea magari madogo ambayo kwa sifa za hapo juu na nyingine mtakazoongeza wadau ni magari poa sana.

Mkuu hivyo vigari kuna badhi ya watu walivinunua hapa TZ ili wafanyie masifa kwa wenzao.
Matokeo yake Wabongo wakavipotezea ikawa ukionekana navyo unaonekana ---- tu.

Wameviweka uwani
 
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images
images

Tusiwe isolated, tuujue ulimwengu na kinachoendelea. Hizo Vitz na Paso ni kubwa sana ukilinganisha na sample nilizoeleta hapo juu gari zinazopendwa na wengi sasa. Gari gharama nafuu na baada ya miaka kati ya saba na kumi unanunua chuma kipya kingine kinachoendana na wakati.

Kuna bado ambao tunafikiria ya karne iliyopita. Gazi hizo ndizo zinazotamba katika ulimwengu wa nchi zilizoendelea kwa sifa sifuatazo:

  1. Hutumia Petrol kidogo sana.
  2. Nyingi hutumia umeme badala ya fuel.
  3. Parking haina shida.
  4. Parts sio ghali.
  5. Hununuliwa kwa gharama nafuu.
  6. Gari inayofaa kwenda nayo kazini sababu abiria mmoja hakuan sababu kuwa na gari kubwa.

Hayo na mengine hufanya magari hayo yapendwe na wengi hata wenye nafasi nzuri hupendelea magari madogo ambayo kwa sifa za hapo juu na nyingine mtakazoongeza wadau ni magari poa sana.

Kitu ambacho nna uhakika nacho ni kuwa huto tugari tukikuwa baadaya ya miaka 5 tutakuwa km hummer
 
...MASABURI ni kiongozi mmoja mkubwa tu katika halimashauri ya manispaa ya Kinondoni. Lilipoibubuka suala la uzwaji holela wa UDA (Usafiri Dar es salaam) viongozi ndani ya manispaa wakaanza kuthumiana. Didas Masaburi, kujibu mapigo, akatumia media kuwashambulia mahasimu wake akiwemo Zungu-mb, kuwa wanafikiria kwa kutumia makalio. baada ya kuwatukana, hivyo, hapa JF, ukiandika kitu halafu mtu asikubaliane na wewe, anaamini hujafikiri kwa kutumia kichwa chako, bali umetumia makalio. Kupunguza ukali wa maneno, basi atakucoment, umetumia UMASABURI- yaani umefikiri kwa makalio na sio kichwa. Ndivyo ninavyofahamu

Tangu nilipoandika kuwa vitz na passo zote ni gari za wanawake. Watoto wa kiume wanamiliki gari hizo wananishambulia sn. Sijui nijifiche wapi
 
Mi nina passo newmodel natesa vizuri tu mjini hapa hasa ukianzia wese na pilika za hapa na pale,shell na.mimi hatuna urafiki kabisa kwani huwa naenda mara 1 kwa mwezi so wewe mwenye jini cruser homgera sana
 
tatizo kwenye mishale ya mchana huwa madreva wa semitera na maroli hawavion vikiwa vinakimbia kwa kasi so kukugonga ni kugusa just kidding ila msala ukigogwa upo kwenye hvyo vigari unakuwa kama umesindikwa yan unabanwa mpka unazikwa nacho
 
hapana mdau...ni saizi tu ya woofer (urefu)...ukiweka kubwa sana unaeza ukahisi vioo vya gari vinataka kupasuka..gari za style hiyo (station wagon) mziki waga unakubali sana..

Yaa.. mzki so kitu cha hiari. Iyo ina cost kama sh ngap
 
tatizo kwenye mishale ya mchana huwa madreva wa semitera na maroli hawavion vikiwa vinakimbia kwa kasi so kukugonga ni kugusa just kidding ila msala ukigogwa upo kwenye hvyo vigari unakuwa kama umesindikwa yan unabanwa mpka unazikwa nacho

Hahaa hating yako ni ya kiwango cha juu kabisa cha utukufu.
 
Mi nina passo newmodel natesa vizuri tu mjini hapa hasa ukianzia wese na pilika za hapa na pale,shell na.mimi hatuna urafiki kabisa kwani huwa naenda mara 1 kwa mwezi so wewe mwenye jini cruser homgera sana

Kwanini tusitese? Ukiwa kwenye foleni unashangaa mi kitu inazima gari wakati wewe upo kwenye kipupwe, ngozi inazid kung'aa tu siku hadi siku.
 
Kati ya Vitz na Passo ipi ina
heshima?
Jibu: huku kwetu heshima anakuwa nayo Dereva/mwendeshaji. Gari ni mashine tu ya kusafiria.

Huku kwetu kuna mbwa kibao wanaendesha magari na pikipiki, lakini bado heshima yao ni MBWA TU.
 
Mmh iyo nchi ya ahadi ni wapi apo mkuu
 
Back
Top Bottom