Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Kati ya Vitz na Passo ipi ina heshima?

Hivyo vyote vilienda na mafuriko.sijaviona siku nyingi.bado vipo??ngoja nimuulize house girl wangu nilimnunulia cha kwenda nacho sokoni kununulia bamia na ngogwe.nitarudi baada ya muda

Duh... Mafuriko... Hatarii.... Yaani mafuriko yanaweza yakakuchukuwa hadi wewe... Sasa sijui na wewe ni KIVITZ..!!??
 
Heshima ya gari inatokana na heshima alionayo driver. Basi.
Ila zikiwa show room inayyopendeza zaidi ni yenye rangi nzuri
 
Passo is a pure domestic urban car conducive for Japanese way of life. Hata vitz ni sama category. These a called green cars zinatumia mafuta kidogo sana less material to manufacture meaning clean environment. Sasa sisi tunazungumzia ni magari ya kike!

wape somo hao, wengi wao washamba magari wamekuja kuyajua ukubwani
 
Mie nilijilipua tu. Siku sikiliza sana mamidomo ya watu
 
Back
Top Bottom