Inategemea vitu vikuu viwili-anataka program gani na ufaulu wake ukoje. Hapa JF usipoangalia utalishwa matango pori kuna wafia vyuo. Ukiweka ufaulu wake (combi na grades & course anayotaka) hapa utapata ushauri unaofaa.Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma
Post sent using JamiiForums mobile app
thanksHuyo bwanamdogo anayetaka kwenda chuo,anatakiwa ajue yafuatayo;UDSM ilianza muda mrefu na yawezekana iliyumba mwanzoni lakini baadae ilikuja ikatengamaa na sina uhakika kama hadi sasa imetengamaa au laa,apime mwenyewe kwa products zinazotoka pale kwasasa,akilinganisha na UDOM.
Baada ya hapo anatakiwa ajue kua UDOM,imeanza juzi tu hapa,na kilichotokea mwanzo hawakua na watu wenye sifa stahki zakufundisha kwenye kile chuo,kwani wengi waliokua wanafundisha pale walikua ni graduates kutoka vyuo mbalimbali mfano UDSM,na baadhi ya watu kama akina Dr.Gharib Bilal,kilichokuja kutokea,waliosoma kipindi hicho cha mwanzo,walipiga GPA za hatari ambazo wengine wala hawakustahili.
Hali iliyopo sasa UDOM kitaaluma iko katika mpito,kwani kuna ile hali yakufiyaosconception ya baadhi ya watu kua kile mi chuo cha kata,hivyo dogo alienda asidhani kuna GPA kama ambazo watu walikua wanajichukulia hapo mwanzo,na anatakiwa ajue kua uwezekano waku-disco nimkubwa sana endapo atalegalega,hasa kwa baadhi ya colleges,mfano CoEd.
Mimi nina rafiki yangu mmoja alifukuzwa UDSM alipokua semester yamwisho kabisa,akaenda kujiunga UDOM,aliwahikunipigia simu kua hawezikupata supplementary kwasababu anaouzoefu wa UDSM alikokua anasoma sociology, hivyo kwenye course za ualimu hawezi lukamatwa,mwakajana akiwa amemaliza semester yakwanza na matokeo yakiwa yametoka,alonijulisha kua kakamatwa somo moja,nikshauri akomae,kwani UDOM bado wanakomaa kurudisha heshima,asidhani ni UDSM ambao heshima ilishapatikana muda mrefu.
phyc-DInategemea vitu vikuu viwili-anataka program gani na ufaulu wake ukoje. Hapa JF usipoangalia utalishwa matango pori kuna wafia vyuo. Ukiweka hapa utapata ushauri unaofaa.
Bado hujaweka course anayotaka. Tafadhali iweke hiyo.phyc-D
chem-E
maths-D
3 ya 13 hapo vp
Post sent using JamiiForums mobile app
Hata sio alikiba ni diamond na hamolapaswali lako halitofautiani na lile la diamond na ali kiba nani mkali...
nimeelewa kwa nn ulienda udomudsm kuna tatizo watu wanamaliza udsm tena phd wanashindwa kumster lugha ya malikia mimi nakushauri mwambie aende udom chuo cha kisasa
Nilenge tu kwenye suala la machapisho,wewe kwa hali yakawaida,unadhani UDOM hawafanyi hayo machapisho,nakama wanayatoa hayo machapisho,unadhani kwa muda huu mfupi tu unaweza kulinganisha na UDSM,what should be born in the minds of some people,wakipe muda chuo cha Dodoma,kipate maprofesa wake,na madaktari wa falsafa pia wakutosha.Swali zuri lakini kwa fikra za kawaida hivi tunafikiri kuwa wakati chuo fulani kinafanya machapisho tafiti etc kingine kinasubiri?
Udsm ina nafasi kubwa kwa uzoefu wake inaweza isiwe bora ktk baadhi ya kozi lakini uzoefu wake unakibeba + wakufunzi wamejenga mentality kwao na kwa wanafunzi wao kuwa wao ni best kwa Afrika mashariki na kati
So unakuta hata bila kujua hiyo kozi inatolewa au haitolewi wao wanasema ni best tuu
Kuna kipindi fulani humu ukizungumzia udsm watu walikuwa hawajadili ila wana coment tuu
" acha kufananisha udsm na mambo ya kijinga"
Ilikuwa ni na bado ni mentality kwa mtu yeyote aliyetoka pale. Kujiamini ni moja ya sifa yao na jinsi walivyorithishwa culture ya chuo.
Kuhusu chuo gani? Lazima ujue kozi gani ili ufanye uchaguzi na uangalie job market ikoje na reputation ikoje ktk job market.
Mf : program ya Acturial Sci lazima usome udsm kwa Tz hata kama mapenzi yako yote ni kusoma Zoom college.
Acha kusikiasikia,kama wewe ni learned unatakiwa ufanye utafiti kisha uandike unachokikusudia kuandika,walioitwa vilaza niwale madogo wa diploma ambao baadhi yao waliondolewa nakubakizwa wale wa program ya sayansi,ambao wanamaliza mwakani bilashaka.Udsm ndio habari ya mjini Hujumskia mkuu siku ile alvosema ukisoma Ud hata kwenye intavyu cheti chako hakigeuzwi geuzwi yaaan kukaguliwa sana kama vyuo vingine hivo... halafu Udom kilivo chuo cha ajabu hata "fomu fo feliya (vilaza) wanasoma digirii"
Post sent using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya college, japo wewe umeandika "collage"?UDSM Ndo chuo... Hizi nyingine collage
Post sent using JamiiForums mobile app
Hzo marks bora uende Udom kwa Udsm competition ya kudahiliwa ni kubwa sana unaweza kuwa na div One na bado usichaguliwe kwenye baadhi ya course.phyc-D
chem-E
maths-D
3 ya 13 hapo vp
Post sent using JamiiForums mobile app
Hata UDOM competition kubwaHzo marks bora uende Udom kwa Udsm competition ya kudahiliwa ni kubwa sana unaweza kuwa na div One na bado usichaguliwe kwenye baadhi ya course.
Kwa mfano Sheria kuanzia div 1.3 hadi div 1.6 Telecom Engineering div 1.3 hadi 1.7 PSPA div 1.3 hadi 1.8.
Tena mwakahuu hakuna Central Admission System ya TCU Udsm watahitaji alama za juu sana kwa wanaoomba pale na usishangae hata Matriculation Exams zikarudishwa.
UDSM ITAENDELEA KUWA THE BEST UNIVERSITY IN EAST AND CENTRAL AFRICA.
Alafu wee rubi !Mdogo wako au wewe??
Yes yesUdsm.
Sio guarantee kwamba atapata elimu bora hapa ila bila shaka atapata statsus!