Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
Unataka kusoma course gani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
University of Dar Es Salaam kinashika nafasi ya 13 ya ubora katika vyuo vyote Afrika.Kinazidiwa na vyuo vya Afrika Kusini pamoja na kimoja cha Egypt.

International wise vyuo vya East Africa vinavyotambulika rasmi kwa ubora uliotukuka ni vitatu tu UDSM,Makerere na University of Nairobi.

Ukitaka kuprove cheki Webometrics African Universities Ranking
 
Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu swali lako liko too general...Toa japo maelezo kidogo, amesoma combination gani na anafikiria kusoma kozi gani!!! then utapata majibu yenye mashiko...
 
Acha kufananisha UDSM na vitu vya kijinga.
Hivi UDOM ilianza lini na UDSM ilianza lini,na chuo kipi ambacho kimezalisha madaktari wa falsafa pamoja na maprofesa wengi..,hata hivyo chuo kipi kati ya hivyo kina machapisho mengi kwenye ulimwengu wa taaluma.. na baada ya majibu yaliyopatikana kutokana na maswali hayo,we unadhani nikwanini iwe hivyo..,je imewahi kupata wasaa ukajiuliza baada ya miaka 25 hali itakuaje kimlinganisho kati ya UDSM na UDOM...?
 
TEKU (teofilikusanji)

Post sent using JamiiForums mobile app
 
University of Dar Es Salaam kinashika nafasi ya 13 ya ubora katika vyuo vyote Afrika.Kinazidiwa na vyuo vya Afrika Kusini pamoja na kimoja cha Egypt.

International wise vyuo vya East Africa vinavyotambulika rasmi kwa ubora uliotukuka ni vitatu tu UDSM,Makerere na University of Nairobi.

Ukitaka kuprove cheki Webometrics African Universities Ranking
Hivyo vyuo ni vina miaka mingapi tangu vianzishwe,kama ni vya 2000s,itakua havijawahitoa hata profesa,je watapataje sifa za vyuo bora kama machapisho yake hamna kwasababu sidhani kama madaktari au maprofesa hawapo itawezekana kuandika hayo machapisho n.k
 
Hivi UDOM ilianza lini na UDSM ilianza lini,na chuo kipi ambacho kimezalisha madaktari wa falsafa pamoja na maprofesa wengi..,hata hivyo chuo kipi kati ya hivyo kina machapisho mengi kwenye ulimwengu wa taaluma.. na baada ya majibu yaliyopatikana kutokana na maswali hayo,we unadhani nikwanini iwe hivyo..,je imewahi kupata wasaa ukajiuliza baada ya miaka 25 hali itakuaje kimlinganisho kati ya UDSM na UDOM...?
Udom ilianza intake ya kwanza mwaka 2007.Kwa mtu makini mkuu jibu la chuo cha kwenda lipo obvious or simply naked...

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
unatumia kigezo ghan kati ya
1... course
2.. ada
3.. distance
4.. background
 
Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
UDOM baada ya miaka 10 au 15 ijao kitakuwa one of the best UNIVERSITY in Africa kwa sasa baado naweza kusema kichanga sn uwezi pata good comparison na UDSM kutokana na UMRI wa chuo.....

Sababu UNIVERSITIES are compared in Four ereas pia hata mwanafunzi uangalia hivyo anapochagua UN...
1) Research .
2) Teaching.
3) Employability and
4) International outlook.

Zimwi likujualo......
 
Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
Fananisha UDSM angalau na SUA.
Mana ndio vyuo bora vilivyopo top 70 ya vyuo bora Africa.

UDOM bado kichanga sana.
 
Huyo bwanamdogo anayetaka kwenda chuo,anatakiwa ajue yafuatayo;UDSM ilianza muda mrefu na yawezekana iliyumba mwanzoni lakini baadae ilikuja ikatengamaa na sina uhakika kama hadi sasa imetengamaa au laa,apime mwenyewe kwa products zinazotoka pale kwasasa,akilinganisha na UDOM.
Baada ya hapo anatakiwa ajue kua UDOM,imeanza juzi tu hapa,na kilichotokea mwanzo hawakua na watu wenye sifa stahki zakufundisha kwenye kile chuo,kwani wengi waliokua wanafundisha pale walikua ni graduates kutoka vyuo mbalimbali mfano UDSM,na baadhi ya watu kama akina Dr.Gharib Bilal,kilichokuja kutokea,waliosoma kipindi hicho cha mwanzo,walipiga GPA za hatari ambazo wengine wala hawakustahili.
Hali iliyopo sasa UDOM kitaaluma iko katika mpito,kwani kuna ile hali yakufiyaosconception ya baadhi ya watu kua kile mi chuo cha kata,hivyo dogo alienda asidhani kuna GPA kama ambazo watu walikua wanajichukulia hapo mwanzo,na anatakiwa ajue kua uwezekano waku-disco nimkubwa sana endapo atalegalega,hasa kwa baadhi ya colleges,mfano CoEd.
Mimi nina rafiki yangu mmoja alifukuzwa UDSM alipokua semester yamwisho kabisa,akaenda kujiunga UDOM,aliwahikunipigia simu kua hawezikupata supplementary kwasababu anaouzoefu wa UDSM alikokua anasoma sociology, hivyo kwenye course za ualimu hawezi lukamatwa,mwakajana akiwa amemaliza semester yakwanza na matokeo yakiwa yametoka,alonijulisha kua kakamatwa somo moja,nikshauri akomae,kwani UDOM bado wanakomaa kurudisha heshima,asidhani ni UDSM ambao heshima ilishapatikana muda mrefu.
 
Back
Top Bottom