Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

sylivester makongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
215
Reaction score
82
Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Chuo kikuu ni CHUO KIKUU CHA Dar es Salaam aka UDSM

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kaka kama anataka sifa aende UDSM kama anataka kujengeka kitaaluma na kupata maarifa yenye kuendana na dunia ya leo afike UDOM pale, kumbuka UDOM ya jana sio ya leo na kesho

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
ubarikiwe sana kwa msaada wako maana wengine humu wajifanya welevu sana kwa kauli mbaya [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sikatai udsm ni chuo kikongwe na kina uzoefu katika utoaji wa taaluma..lakini hakiko updated na badiliko makubwa katika secta ya kielimu...nakushauri nenda udom chuo kilicho update na kinachokua kila siku kulingana na hali ya mabadiliko katika secta ya kitaaluma..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ubora wa Chuo unapimwa kwa vitu vingi sana...mfano number ya Drs na Profs,research publications za Chuo husika na impact ya research hizo kwenye National Development,products za Chuo mf graduates na competence zao kwenye related fields etc.Ni mambo mengi...sasa inabidi uwe makini sana katika kuchambua ubora wa chuo.Vyuo vyetu vya umma vingi vimejawa na siasa badala ya utaalamu.Its upon you to choose na pia utakavyoiweka akili yako kwenye malengo unayotaka kwenye Chuo husika.League ya Udom na Udsm ni upuuzi cha msingi jipange katafute elimu ubora unao kichwani mwako mwenyewe.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Back
Top Bottom