eyamango
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 463
- 371
Vyote ni vya umma. Vinafaa, kikubwa anayekwenda/unapokwenda kusoma ujue lengo lililokupeleka hapo ni kusoma na si vinginevyo. Zingine ni mbwembwe tu!Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma
Post sent using JamiiForums mobile app