Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Samahani, kama kichwa cha habar kinavoeleza kuna mdogo wangu ahitaji kuchagua chuo kati ya UDOM NA UDSM kip kinafaa kwa utoaji mzur wa huduma ikiwemo taaluma

Post sent using JamiiForums mobile app
UDSM is the best university in TANZANIA
and it is among the best universities in Africa
mtu akikushauri kisa ana chuki na UDSM utapotea
na wengi wanaochukia UDSM ni waliokosa nafasi hiyo ya kusoma pale japo walihitaji
anayesema UDSM ni bora sio walimu wala wafanyakazi wa UDSM
Namaliza UDSM is the best anayebisha analeta ushabiki kwenye elimu wakati sio mahala pake
kama atapata UDOM ni kheri pia popote kambi ila UDSM ni chuo bora zaid na UDOM ni chuo bora pia ila si zaidi ya UDSM
 
nilikuwa napitia huu Uzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho...kuna vitu nimechukua notes..kwanza humu kuna watu wapotoshaji, mashabiki, na wasiojitambua!!
nilitegemea watu wenye akili zao timamu kutoa hoja ambazo zitajenga vizazi vya sasa na hata vya baadaye lakini mambo yapo kinyume...kwanza jina la hii Uzi linachochea kuwepo kwa matabaka...JAMANI MM NINGETAMANI KAMA WATU WOTE TUNGEKUWA VIPAUMBELE KWA KUENDELEZA VYUO VYETU ILI TUJIVUNIE MBONA NCHI ZA WENZETU HAWANA HAYA TUNAYOYAFANYA...Hivi just imagine chuo cha UDOM kisingeanzishwa mpaka sasa hivi vijana wangeenda wapi baada ya kuhitimu form six?? unategemea vyuo vingine vilivyopo vingekidhi mahitaji ya watu wote ? hivi hizi shule za kata zisingeanzishwa unategemea lundo la wanafunzi sasa hivi wangekuwa wapi?? siku zote kizuri lazima kianze na changamoto nyingi ili kije kikubalike...hakuna mtu alizaliwa tu na akaanza kutembea..yaani unakuta mtu humu nimzee na familia yake anatoa comment utumbo...khaaa then ndo anajinadi kuwa ni product ya udsm...in a real life there is no UDSM, SUA, UDOM, MUHAS whatever in real life its all about your level of understanding things, how to behave, cooperate to people surround you...your confidence and smartness of mind....kila chuo kina changamoto zake so tuwe proud kwa vyuo vyetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ni muhitimu wa UDOM 2016/2017 holder of bachelor of science in chemistry ...and am proud to graduate at UDOM kwani changamoto nyingi nimezipitia zilizonikuza kimaarifa in a real life...so jamani shule popote cha msingi uwe tayar kuyaface mazingira na kujua namna ya kupambana na hizo changamoto...wakati nikiwa nimehitimu form six nilikuwa na ndoto za kusoma pharmacy kama plan A Ila plan B ilikuwa kusoma bsc.chemistry maana nilikuwa napenda sana chemistry advance so nikaangukia plan B so vijana ninachowashauri don't focus only on Plan A, Plan B also is important to have when your selecting degree programmes... and remember to choose wisely don't rush things and do for yourself don't let somebody to force you and make u regret someday.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom