Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Kati ya UDOM na UDSM chuo kipi kinafaa

Hata UDOM competition kubwa
Chuo kinahitaji matokeo makubwa vile vile
Usifikir UDOM ndyo wanachukua div 3 tuuu
Naona umejivutia upande wako bro lkn hukutoa ushaur...
Toa ushaur
Ushauri
Hata UDOM competition kubwa
Chuo kinahitaji matokeo makubwa vile vile
Usifikir UDOM ndyo wanachukua div 3 tuuu
Naona umejivutia upande wako bro lkn hukutoa ushaur...
Toa ushaur
Ushauri ndio huo niliompa kwamba aombe Udom au vyuo vingine vya kata Udsm kwa division 3 huwezi pata kozi yoyote ile.

Udsm wako very strictly kwenye marks wanazochukua pamoja na idadi ya watu wanaowachukua lakini kwa Udom ni tofauti kumbuka lengo la Udom ni kufikia wanafunzi 40,000 na kukifanya chuo chenye wanafunzi wengi zaidi hivyo hata hizo div 3 wao "wanasomba" tu
 
Chuo chochote kinafaa tu.. wengine tulisoma CBE na tuna maisha bora, kuliko watu wengi waliopitia hivyo vyuo vyenu!
 
Chuo chochote kinafaa tu.. wengine tulisoma CBE na tuna maisha bora, kuliko watu wengi waliopitia hivyo vyuo vyenu!
jamanii madobii mkuje huku kuna povu la kuto
Chuo chochote kinafaa tu.. wengine tulisoma CBE na tuna maisha bora, kuliko watu wengi waliopitia hivyo vyuo vyenu!
jamanii madobii mkuje huku kuna povu la kutosha hukuu

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Ukitaka kumaliza chuo na GPA kubwa nenda UDOM. Ukitaka kuelimika nenda UDSM. Waulize watu enzi ya mhadhiri Dr. Kadege ilivyongumu Ku graduate.
 
Ushauri

Ushauri ndio huo niliompa kwamba aombe Udom au vyuo vingine vya kata Udsm kwa division 3 huwezi pata kozi yoyote ile.

Udsm wako very strictly kwenye marks wanazochukua pamoja na idadi ya watu wanaowachukua lakini kwa Udom ni tofauti kumbuka lengo la Udom ni kufikia wanafunzi 40,000 na kukifanya chuo chenye wanafunzi wengi zaidi hivyo hata hizo div 3 wao "wanasomba" tu
Mkuu usijiapize hata UDSM wenye 3 huingia. Data zipo zitafute.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kumaliza chuo na GPA kubwa nenda UDOM. Ukitaka kuelimika nenda UDSM. Waulize watu enzi ya mhadhiri Dr. Kadege ilivyongumu Ku graduate.
Steriotyping.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufaulu huo nendaa UDOM .UDSM sahau huku wanakuja vipanga tuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwenye elimu ukishaweka chuo gani kati ya hiki na kile kipi ni bora lazima utachemsha...unachotakiwa kufanya nini moyo wako unataka (course gani) alafu angalia kwenye vyuo vyote hivyo kama hiyo course ipo na imeanza kutolewa lini...kama ni kozi kongwe kwenye hicho chuo kwa assumption inaweza ikawa nzuri kuliko chuo kingine ambacho imeanza juzi juzi (nayo inaweza ikawa si kweli vilevile.

Vinginevyo vyuo vyote ni sawa tu kama mwanafunzi utakomaa kutafuta maarifa maana chuo wanamfundisha mwanafunzi kutafuta maarifa mwenyewe hivyo ukikomaa mwenyewe hata kama umesoma chuo cha uchochoroni lakini kinatambuliwa na TCU utaibuka kidedea

Vinginevyo kwangu mie vyuo vyote vipo poa so long vyote vinatoa shahada alafu wakimaliza wengi mnaajiriwa Tanzania ambapo mnatuhudumia raia ambao wengi wetu tumeishia darasa la 7A na wachache form 4B.
 
Tatizo watu wandhani ukisoma UD au Mzumbe etc ndio utapata tiketi ya moja kwa moja ya kupata ajira nzuri. Vyeti pekee havimfanyi mtu kupata kazi nzuri. Pamoja na kusoma mjitahidi kupata real world experiences. Mjitahidi kujenga social networks kwa kuhudhuria warsha, mikutano etc ambazo zinaendana na kozi au kazi ambayo utaipenda kufanya. Unaweza kipindi cha likizo ukatafuta sehemu ambayo unaweza kujifunza kazi hata mwezi mmoja tu. Pia unaweza baada ya kumaliza shule ukaomba kuwa trainee katika mashirika au makampuni mbalimbali.

Mimi nilimaliza UD, lakini kipindi cha likizo nilikuwa natafuta vikazi hata kama nitalipwa nauli tu nakubali kufanya. Nilipomaliza chuo nikajitolea kwenye shirika fulani mwaka mmoja, hapo nilikuwa nalipwa nauli na siku nyingine napewa hela ya chakula. Nilipomaliza hapo nikawa natafuta mashirika yanayofanya reserach ambayo wanatafuta field interviewer, nikawa napata field work za wiki mbili, mwezi etc huku napata experiences za research work na mambo ya monitoring and evaluation of social projects/programmes. Baada ya hapo ndio nikaomba kazi, kule hawakutaka vyeti in the first place, unajaza form na unaambiwa utaleta vyeti siku ambayo utakuwa umepata kazi. Sasa hivi nafanya kwenye International NGO kama Policy Adviser.

Kuna mashirika hawataki vyeti vyako kwanza, inategemea ushawishi wako utaleta nini kipya kwenye shirika na jinsi gani utaweza kufanya kazi kwa ufanisi. Huko serikalini ndio wanataka vyeti kwanza lakini ukiona performance nyingi ni ziro kabisa. Kwa hiyo wadogo zangu whether umesoma UD, Mzumbe, UDOM, KIU etc what matter is to go beyond academic world and explore world experiences.

Ndio hayo tu.
 
Mimi nilimaliza UD, lakini nilikuwa kipindi cha likizo nilikuwa natafuta vikazi hata kama nitalipwa nauli tu nakubali kufanya. Nilipomaliza chuo nikajitolea kwenye shirika fulani mwaka mmoja, hapo nilikuwa nalipwa nauli na siku nyingine napewa hela ya chakula. Nilipomaliza hapo nikawa natafuta mashirika yanayofanya reserach ambayo wanatafuta field interviewer, nikawa napata field work za wiki mbili, mwezi etc huku napata experiences za research work na mambo ya monitoring and evaluation of social projects/programmes. Baada ya hapo ndio nikaomba kazi, kule hawakutaka vyeti in the first place, unajaza form na unaambiwa utaleta vyeti siku ambayo utakuwa umepata kazi. Sasa hivi nafanya kwenye International NGO kama Policy Adviser.

Kuna mashirika hawataki vyeti vyako kwanza, inategemeaushawishi wako utaleta nini kipya kwenye shirika na jinsi gani utaweza kufanya kazi kwa ufanisi. Huko serikalini ndio wanataka vyeti kwanza lakini ukiona performnce nyingi ni ziro kabisa. Kwa hiyo wadogo zangu whether umesoma UD, Mzumbe, UDOM, KIU etc what matter is to go beyond academic world and explore world experiences.

Ndio hayo tu.
Maneno mazuri hayo mkuu
 
Ushauri

Ushauri ndio huo niliompa kwamba aombe Udom au vyuo vingine vya kata Udsm kwa division 3 huwezi pata kozi yoyote ile.

Udsm wako very strictly kwenye marks wanazochukua pamoja na idadi ya watu wanaowachukua lakini kwa Udom ni tofauti kumbuka lengo la Udom ni kufikia wanafunzi 40,000 na kukifanya chuo chenye wanafunzi wengi zaidi hivyo hata hizo div 3 wao "wanasomba" tu[/QUOTE
UDOM .haina sifa za kijinga km UDSM
Ni shule tuu .ukienda na mawazo kama yako unaishia njian
Et very strictly wakat schoolmates wang wapo UDSM na div 3 za 16..
Hyo strict iko wap sasa
 
Ukitaka kumaliza chuo na GPA kubwa nenda UDOM. Ukitaka kuelimika nenda UDSM. Waulize watu enzi ya mhadhiri Dr. Kadege ilivyongumu Ku graduate.
Lengo La vyuo ni Kuweka mazingira magumu ili watu wasifaulu?

By the way, Why make things Difficult?
 
Ushauri

Ushauri ndio huo niliompa kwamba aombe Udom au vyuo vingine vya kata Udsm kwa division 3 huwezi pata kozi yoyote ile.

Udsm wako very strictly kwenye marks wanazochukua pamoja na idadi ya watu wanaowachukua lakini kwa Udom ni tofauti kumbuka lengo la Udom ni kufikia wanafunzi 40,000 na kukifanya chuo chenye wanafunzi wengi zaidi hivyo hata hizo div 3 wao "wanasomba" tu
Vipi mtu akiwa na div III, points 13 na amesoma PCB au PCM?
 
Back
Top Bottom