Seafood!
Kwani tupo japani sie?
Wanashangaza sana mkuu.
Kuna jamaa angu wa chuo kipindi hicho toka Mtwara ππ anakwambia vyote vya baharini kwao kiimani ni visafi.
Mkuuπππ
Nikiwa Kanda ya ziwa samaki ni Sato. Lakini hatii ladha kama Samaki wa maji chumvi wakiongozwa na Jodari akifatiwa na Tasi na Kolekole. Upishi pia unasehemu yake. π€£π€£
Wasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?