Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,350
- 3,312
Mmemsahau kuna mwamba anaitwa BAKHRESSA huyu ingebidi tumtafutie MKOA tuupe jina lake
Ukipewa mtaa ni kama heshima kwako kama Azizi Ally kule mbagalaHiv ukipewa mtaa unalipwa au unapewa posho yyt ile kwasababu mtaa fln ni wako?
BASHITE ANA CHUKI NA MENGI, nafikiri alikuwa akimuomba hela hampi, hizo za kugawa kama nduguze bharesa na wengine.Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Daresalaaam akiahidi kumpa mtaa mchezaji wa kimataifa Mtanzania Mbwana Ali Samatta kwa kuitangaza nchi vizuri kupitia michezo.
Sina kinyongo na hilo lakini ninachokiwaza ni kuwa Mzee Mengi amekuwa na mchango mkubwa katika taifa hili kwa ujenzi wa uchumi na kutoa ajira kwa watanzania wengi. Amesaidia kujenga hospitali, mashule, misikiti, makanisa na kadhalika.
Je, yeye hakustahili kuenziwa kwa kupewa angalau mtaa?
Secondary sio primaryMengi kapewa shule nyingi ikiwemo pale Moshi kuna Reginald Mengi primary school
Jina lake litachukua vizazi kadhaa kuja kusahaulika.
Ameacha alive legacy!
Hiyo sekondari unayoisema wewe ipo mtaa gani?Secondary sio primary
Secondary ipo karibu na ofisin za Zara tours moshiHiyo sekondari unayoisema wewe ipo mtaa gani?
Na mm nitakuelekeza primary ninayoisema ipo mtaa gani!
Hakuna haja ya kupewa mtaa wananchi sisi wenyewe tutaona ustahili hivyo .Sinza kwa Remi,Kawe Ukwamani,Tandale kwa Tumbo, Buza kwa Lulenge,Madame kwa kawawa na Madale kwa Diamond .Fanya vitu vikubwa tutakupa automatic bila Makonda kukufikiria.Fanya hivi Nunua nyumba hata kumi kwenye mtaa wa watu maskini bila shaka mtaa utakuwa wako,au nunu shamba kubwa karibu na mjini bila shaka wewe ndiyo utakayetuuzia viwanja na jina lako ndilo litashika hatamu,Jenga kiwanda weka jina lako bila shida mji utabeba jina lako.Angalia Bhakharesa ajapewa mtaa pamoja na serikali kuyapa majina maeneo ambayo kaweka viwanda lakini jina linalojulikana ni Bakharesa.Fika masaki lipo,Manzese,Mbagala na sehemu mbalimbali.Heshima inatengenezwa hatunukiwi.Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Daresalaaam akiahidi kumpa mtaa mchezaji wa kimataifa Mtanzania Mbwana Ali Samatta kwa kuitangaza nchi vizuri kupitia michezo.
Sina kinyongo na hilo lakini ninachokiwaza ni kuwa Mzee Mengi amekuwa na mchango mkubwa katika taifa hili kwa ujenzi wa uchumi na kutoa ajira kwa watanzania wengi. Amesaidia kujenga hospitali, mashule, misikiti, makanisa na kadhalika.
Je, yeye hakustahili kuenziwa kwa kupewa angalau mtaa?
Hata bweni mojawapo shule ya juu ya upili Nsumba ilinaitwa Mengi toka 1994Tayari ilishakuwepo Reginald Mengi Primary School pale mitaa ya Sinza jirani kabisa na nyumbani kwa Augustine Lyatonga