Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,114
- 1,485
Wadau ningependa kujua kati ya dekoda ya strong 4922 na q sat 28 g ipi ina nguvu kuliko nyingine ?
Wadau ningependa kujua kati ya dekoda ya strong 4922 na q sat 28 g ipi ina nguvu kuliko nyingine ?
wewe matumizi yako yanaenda kuwa yapi?
bila kutaja matumizi yako naweza kusema hautopata jibu sahihi
maana unalinganisha vitu viwili vilivopishana sana kwa functionalities ukizingatia q28g ina support Satellite na Terrestrial TV pia ina support Spycam ambayo inapiga Scrambled channel za Canal 22w, DSTV 36 na DSTV 68 na huku hiyo nyingine ina functions ambazo hautazipata kwingine sababu manufacturers wanatoa updates ambazo zitakusaidia ku unscramble channel zilizofungwa na CAS Modules ambazo haziko kwenye QSAT mfano module trick mpya ya PowerVu inaitaji software manipulation ktk Qsat na manufacturer hatoi priority kwa hicho kitu
Str 4922 ni nzuri sana upande wa power vu maana ni rcv pekee inayofungua chanel ambazo zimefungwa kwa mfumo wa power vu na hakuna rcv nyingine yenye uwezo huo.na hiyo imesababisha hii 4922 kununuliwa sana madukani,binafsi leo mchana nilitaka kuagiza mzigo wa hizi rcv nairobi wakaniambia juzi kati kuna mtu alienda akakomba zoote hivyo lazima nisubirie within a week ili walete mzigo mwingine
Mkuu lengo kuu la matumizi yangu ni kutaka kupata chanel za mpira kwa kutumia mojawapo ya receiver hizo je ipi inafaa sana mkuu?
Receiver pekee zinayofungua DSTV ni zile zinazo support Avatacam/Spycam i.e QSAT/XmasterAhsante sana mkuu kwa jibu lako ila srt 4922 hauwezi kufungua chanel za dstv?
Srt 4922 ni receiver Pekee unayoijua yenye Power VuStr 4922 ni nzuri sana upande wa power vu maana ni rcv pekee inayofungua chanel ambazo zimefungwa kwa mfumo wa power vu na hakuna rcv nyingine yenye uwezo huo.na hiyo imesababisha hii 4922 kununuliwa sana madukani,binafsi leo mchana nilitaka kuagiza mzigo wa hizi rcv nairobi wakaniambia juzi kati kuna mtu alienda akakomba zoote hivyo lazima nisubirie within a week ili walete mzigo mwingine
Njuwa wa masauti mimi kuna mtu nimemkuta kalaza chini Strong haitumii. Ndo naenda kuichukua leo sasa utundu wa kupata machannel ya mpira nakutegemea wewe. je huwa inalipiwa nayo kwa kila mwezi?
Mada nzuri sn hii.
Ndugu Dola Iddy
Kufahamu zaidi pitia hii Thread: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...wa-fta-television-chanels-7.html#post13665220
Kuanzia Page #1 , mengi utajifunza.
Mytake
- Yeyote kati ya hizo decoder yaweza kukidhi mahitaji yako, wewe ni muamuzi wa ipi ya kuchukua kwa kuzingatia maoni ya wadau.
- Q28G utatumia SPYCAM kupata sports channel pia waweza kuweka CCCAM
- Strong STR - hii utatumia CCCAM account (Ninazo) pekee - Na utaweza kuona ligi zote za ulaya
- Pia sambamba na hizo receiver mbili kuna DREAM BOX nayo ni nzuli
Wadau ningependa kujua kati ya dekoda ya strong 4922 na q sat 28 g ipi ina nguvu kuliko nyingine ?
Receiver pekee zinayofungua DSTV ni zile zinazo support Avatacam/Spycam i.e QSAT/Xmaster
Kumbuka Qsat wanatoa Long term support kwa hizo channel za DSTV na Canal hata DSTV/Canal wajipinde vipi hawa jamaa ni noumer wataweza chakachua tu sisi wote tumeshuhudia hilo
Kwa hiyo mkuu unanithibitishia kuwa q sat ni nzuri kwa kufungua dstv na canal chanels?
Mkuu mimi sio mgeni kwenye thread zote zinazohusu sattelite chanels nimepitia hiyo thread nikaona sifa za q sat na srt 4922 ila ninachokihitaji mimi ni kuweza kutazama chanel za michezo kama ss chanels je kwa uelewa wako ni rcv gani kati ya hizi mbili itafaa zaidi nifanye mchakato wa kununua kwani kuna ndugu yangu yupo dar anakuja huku geita ushirombo mwisho wa mwezi ningependa aje nayo yeye, ila naomba nithibitishie kwanza ni rcv gani itakidhi mahitaji yangu kati ya srt 4922, open box, dreambox au q sat 28g?
hizo channel hauwezi zipata kwingine kaka ni either ulipe DSTV au utumie QSAT Ambayo inapiga Canal 22,DSTV 36 partially na DSTV South Afrika almost fully
Umegusia maswala yafuatayo:-Mi Nimgen Kabisa Kweny Hiz Mamb Hz Reciver Unaunganisha Na Intanet Ama Ukiinunua Ni Kuweka T Chanel Zna Kuwep Vip Malpo Ya Mwez Hayap Na Nikiwa Na Kidsh Kile Cha Azam Ama Zuku Inafaa
hizo channel hauwezi zipata kwingine kaka ni either ulipe DSTV au utumie QSAT Ambayo inapiga Canal 22,DSTV 36 partially na DSTV South Afrika almost fully