Kati ya receiver ya STRONG 4922 na q sat 28g ipi kali zaidi?

Ahsante kaka nitawasiliana na wewe hivi punde kujua bei na mchakato wa kuipata.

Acha kutapeliwa mkuu,hivyo vidude havifanyi kazi mjini hapa.take for your own risk hakuna anayevinunua yoyote.njuwa na mwl crt hawa ni wasaka tonge tu na utapeli jf huku wakitumia kauli za kuwapa watu tamaa
 
Mkuu dah mbona unaniogopesha? Thibitisha kauli yako mheshimiwa nathamini mawazo yako.
 
Mkuu dah mbona unaniogopesha? Thibitisha kauli yako mheshimiwa nathamini mawazo yako.

Mkuu nimeshakuokoa kama huamini shauri yako.wewe nunua ila wanaovijua wanalia wewe hushangai hakuna anayeviulizia.hayo ni maneno mazuri tu wanayotumia kutapeli watu.sikukatazi nunua sikujui hunijui ila nakuokoa hela yenyewe ngumu hii.kama vipi funga azam yako uangalie laliga ila hao wengine ni matapeli.
 
Mkuu dah mbona unaniogopesha? Thibitisha kauli yako mheshimiwa nathamini mawazo yako.

Huo ndio ukweli. Channel zinazofunguka ni chache sana na si za sports. Za sports ni Super Sport 6 peke yake

Mkuu nimeshakuokoa kama huamini shauri yako.wewe nunua ila wanaovijua wanalia wewe hushangai hakuna anayeviulizia.hayo ni maneno mazuri tu wanayotumia kutapeli watu.sikukatazi nunua sikujui hunijui ila nakuokoa hela yenyewe ngumu hii.kama vipi funga azam yako uangalie laliga ila hao wengine ni matapeli.

Ndungu @Dolla Iddy mm nimekuelewa wewe sio mgeni kwenye maswala ya Satellite na sidhani kama unaweza kudanganywa kama mtoto
Usiwasikilize hao jamaa wana personal Internal conflicts....

Jibu nimekupa Post #16 usiwasikilize mm sipindishagi ukweli nimesema dstv 36 ni partial na dstv 68 ni almost full
Rudi nyuma hiyo post uisome kwa umakini

Lakini labda sikuku tahadharisha kwamba Unapotarajia kuangalia channel zilizofungwa maisha sio mteremko kuna mda utakosa mataganzo nafikiri nilidodosa kidogo hili swala Post #9 kwamba Kampuni ya hizi receiver haitokaa ikubali kunyanganywa kitumbua chao lazima watachakachua tu hata DSTV waweke vikwazo vipi

Ushauri wangu, Chukua maneno yangu nilokueleza mtafute jamaa wako wa ukweli unae muamini huko mtaani ambae anatumia hizi receiver akupe ushauri achana na hawa jamaa wanaongeza chumvi faida na hasara zipo ila hautozipata kwa hao jamaa

Mm nimekupa ushauri na sina masilahi yoyote nina zaidi ya miezi 10 siuzi receiver yoyote hivo sikushauri labda ununue kwangu maana sijishughulishi na hizo kitu
 
Srt 4922 ni receiver Pekee unayoijua yenye Power Vu
Mm nina Receiver ya OpenBox V8 Combo ina Support PowerVu

c4605fed04dd3338a6703eab460c2e7a.jpg

Pia usitegemee hata Siku moja eti Srt 4922 iwe pekee wakati kuna receiver kama Dreambox
mkuu Njunwa hiyo Dream Box inatumia software za srt kwa ajili ya powervu? bei yake ukilinganisha na srt ipi ipo juu?
 
mkuu Njunwa hiyo Dream Box inatumia software za srt kwa ajili ya powervu? bei yake ukilinganisha na srt ipi ipo juu?

Mara nyingi software za receiver haziingiliani na Dreambox sio receiver ya kitoto unai program mwenyewe kwa vitu unavyotaka kwa kutumia tools zilizoko online yaani una Install application kama unavyofanya kwenye Simu au Computer
Mfano unataka Kwenye Computer/simu uunganishe picha uta install software fulani na hivo hivo ipo kwa Dreambox maana hizi zinatumia Operating system kama Simu/Computer

Bei yake inategemea kama ni Enigma I(DM500) bei yake iko chini na haifai kwa matumizi ya kuwindia satellite za ulimwengu wa leo na bei sana sana iko sawa na Strong ila kwa Enigma II BOXES (DM800) hapo ndo penyewe na bei yake inategemea kama ni Clone au Original Clone inacheza 120$ wakati original inaenda mpaka 500$ ambayo inakua na capabilities tu sawa na Computer kubwa na sidhani kwa matumizi binafsi kitu cha hivi kinakufaa
Kwa sasa DM zilizotawala soko ni Clone na kuwa clone kusikupe shida maana kila kitu unachoitaji kipo sema wamepunguza Vitu vingi sana e.g RAM na CPU Architecture
 
Srt 4922 ni receiver Pekee unayoijua yenye Power Vu
Mm nina Receiver ya OpenBox V8 Combo ina Support PowerVu

c4605fed04dd3338a6703eab460c2e7a.jpg

Pia usitegemee hata Siku moja eti Srt 4922 iwe pekee wakati kuna receiver kama Dreambox

Asante mkuu kwa kunifumbuA macho,sikujua kama kuna rcv zinazofungua chanel za power vuu zaidi ya str4922. Basi hapo tuseme basi upatikanaji wa 4922 ni rahisi kuliko hizo zingine
 
Asante mkuu kwa kunifumbuA macho,sikujua kama kuna rcv zinazofungua chanel za power vuu zaidi ya str4922. Basi hapo tuseme basi upatikanaji wa 4922 ni rahisi kuliko hizo zingine
Ni sawa kabisa kwa hapa soko la ndani Srt 4922 ndo accessible kwa wale walo na access Kenya na Uchina basi kuna varities nyingi
 
Ni sawa kabisa kwa hapa soko la ndani Srt 4922 ndo accessible kwa wale walo na access Kenya na Uchina basi kuna varities nyingi

Ushauri Wangu.

Mimi nina mwezi sasa tangu ninunue receiver ya Strong 4922.Kwa kutumia receiver hiyo, naangalia EPL,BUNDESLIGA, UCL, EUROPA , kwa channels za PTV SPORTS, na TV3.Pamoja na hilo, napata channels zote za Continental buree kabisa.Natumia dish zile za zamani (ft 6).
 
Hapa ni kwa mtu yeyote mwenye MPEG4 decoder

Anaweza kupata hizo tv channel tajwa.

Haijalishi ni MPEG4 decoder ipi inayotumika.

Kikubwa ni dish size na mpangilio wa LNBf
 
Umegusia maswala yafuatayo:-
  • Matumizi ya internet kwenye hizi receiver kwa ujumla wake.
  • Upatikanaji wa T- Cahannel
  • Aina ya dish utakalotumia
Matumizi ya internet kwenye hizi receiver kwa ujumla wake.
  • Hizi receiver waweza kuziunganisha kwenye internet kwa njia zifuatazo
    1. Kwa kutumia SIMCard Direct - Hapa utatumia GPRS internet, hii ni kwa Qsat Receiver
    2. Kwa kutumia Wi-Fi - Iwapo una wireless adapter connected kwenye receiver yako, Hivyo kuweza kupokea internet toka kwenye Simu au Wireless Router
    3. Kwa kutumia Ethernet Cable au
    4. kwa kutumia USB Modem
  • Receiver zinahitaji internet connection kuweza kufungua PayTV channel zilizofungwa na utalazimika kuwa na supported account kwenye receiver husika.
  • Pia internet hutumika kufanya Streaming kwa kufungua YOUTUBE au IPTV channel zilizopo kwenye receiver husika
Upatikanaji wa T- Cahannel
  • T- Channel zinapatikana iwapo ume unga antena ya kawaida kwenye receiver yako ambayo ni DVB-T2 enable - kama QSAT Q28G, OpenBox au Dream BOx
  • T-Channel - hazihitaji uwepo wa internet connection yeyote
Aina ya dish utakalotumia
  • Dish lolote ulilonalo laweza kutumiaka
  • Inategemea ni Sat ipi unataka kufungua channel zake.
  • Kuna sat. ambazo beam yake iko karibu - hapa utahitaji dish dogo kama hilo la Azam ulilonalo
  • Na kuna Sat. zingine beam yake iko mbali na ni dhaikfu - Hapo utahitaji Dish kubwa mfano la FT6 au 8
KARIBU
Kiongozi hiyo qsat 28 inasupport hdmi? Na je nikinunua nitatakiwa kununua na nini vingine (mfano lnb itatakiwa niongeze au labda ku)..na pia channel kama FOX zitapatikana humo? Nina dishi la futi 6...je gharama ya hiyo receiver ni shilingi ngapi?
 
Mim nami nahitaji na niko tayari kulipia ila sijuii lolote kuhusu ulimwengu huu aliyetayari anisaidie anipe mchanganuo wa vitu husika mfano dish receiver lnb kama yahitajika na vitu vyote husika. Na gharama zaa ufundi .Hitaji laangu niweze tu kupata chanel zinazoonyesha ligi ya uingereza kwa kingereza . La liga , bundasliga pia nipate chaanel zinazoonyesha muvi kali kali bila kusahau stesheni zote za tanzania . Aweke wazi mchanganuo hapa hapa ili iwe faida kwa wote kisha ikiwezekana anitafute kupitia 0783848802 ili tuweze fanya biashara ni hayo
 
Back
Top Bottom