Kati ya receiver ya STRONG 4922 na q sat 28g ipi kali zaidi?

Wadau ningependa kujua kati ya dekoda ya strong 4922 na q sat 28 g ipi ina nguvu kuliko nyingine ?

wewe matumizi yako yanaenda kuwa yapi?
bila kutaja matumizi yako naweza kusema hautopata jibu sahihi
maana unalinganisha vitu viwili vilivopishana sana kwa functionalities ukizingatia q28g ina support Satellite na Terrestrial TV pia ina support Spycam ambayo inapiga Scrambled channel za Canal 22w, DSTV 36 na DSTV 68 na huku hiyo nyingine ina functions ambazo hautazipata kwingine sababu manufacturers wanatoa updates ambazo zitakusaidia ku unscramble channel zilizofungwa na CAS Modules ambazo haziko kwenye QSAT mfano module trick mpya ya PowerVu inaitaji software manipulation ktk Qsat na manufacturer hatoi priority kwa hicho kitu
 
Str 4922 ni nzuri sana upande wa power vu maana ni rcv pekee inayofungua chanel ambazo zimefungwa kwa mfumo wa power vu na hakuna rcv nyingine yenye uwezo huo.na hiyo imesababisha hii 4922 kununuliwa sana madukani,binafsi leo mchana nilitaka kuagiza mzigo wa hizi rcv nairobi wakaniambia juzi kati kuna mtu alienda akakomba zoote hivyo lazima nisubirie within a week ili walete mzigo mwingine
 
Mkuu lengo kuu la matumizi yangu ni kutaka kupata chanel za mpira kwa kutumia mojawapo ya receiver hizo je ipi inafaa sana mkuu?
 
Ahsante sana mkuu kwa jibu lako ila srt 4922 hauwezi kufungua chanel za dstv?
 
Njuwa wa masauti mimi kuna mtu nimemkuta kalaza chini Strong haitumii. Ndo naenda kuichukua leo sasa utundu wa kupata machannel ya mpira nakutegemea wewe. je huwa inalipiwa nayo kwa kila mwezi?
 
Ndugu Dola Iddy

Kufahamu zaidi pitia hii Thread: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...wa-fta-television-chanels-7.html#post13665220

Kuanzia Page #1 , mengi utajifunza.

Mytake

  • Yeyote kati ya hizo decoder yaweza kukidhi mahitaji yako, wewe ni muamuzi wa ipi ya kuchukua kwa kuzingatia maoni ya wadau.
  • Q28G utatumia SPYCAM kupata sports channel pia waweza kuweka CCCAM
  • Strong STR - hii utatumia CCCAM account (Ninazo) pekee - Na utaweza kuona ligi zote za ulaya
  • Pia sambamba na hizo receiver mbili kuna DREAM BOX nayo ni nzuli
 
Last edited by a moderator:

Receiver pekee zinayofungua DSTV ni zile zinazo support Avatacam/Spycam i.e QSAT/Xmaster
Kumbuka Qsat wanatoa Long term support kwa hizo channel za DSTV na Canal hata DSTV/Canal wajipinde vipi hawa jamaa ni noumer wataweza chakachua tu sisi wote tumeshuhudia hilo
 
Str 4922 ni nzuri sana upande wa power vu maana ni rcv pekee inayofungua chanel ambazo zimefungwa kwa mfumo wa power vu na hakuna rcv nyingine yenye uwezo huo.na hiyo imesababisha hii 4922 kununuliwa sana madukani,binafsi leo mchana nilitaka kuagiza mzigo wa hizi rcv nairobi wakaniambia juzi kati kuna mtu alienda akakomba zoote hivyo lazima nisubirie within a week ili walete mzigo mwingine
Srt 4922 ni receiver Pekee unayoijua yenye Power Vu
Mm nina Receiver ya OpenBox V8 Combo ina Support PowerVu

c4605fed04dd3338a6703eab460c2e7a.jpg

Pia usitegemee hata Siku moja eti Srt 4922 iwe pekee wakati kuna receiver kama Dreambox
 
Njuwa wa masauti mimi kuna mtu nimemkuta kalaza chini Strong haitumii. Ndo naenda kuichukua leo sasa utundu wa kupata machannel ya mpira nakutegemea wewe. je huwa inalipiwa nayo kwa kila mwezi?

Ni Strong receiver model ipi?

Channel za mpira itategemea kama zimefungwa kwa zile keys ambazo hazibadiliki badiliki utaziangalia bure na kama zimefungwa kwa keys ambazo zinabadilika kila sekunde utaitaji CCcam ambazo zinalipiwa
Mfano CCcam za Canal Reunion/Parabole Reunion unaweza kuona Mpira japo kwa kifaransa ila zinalipiwa japo ni cheaper sana
 
Ndugu Dola Iddy

Kufahamu zaidi pitia hii Thread: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...wa-fta-television-chanels-7.html#post13665220

Kuanzia Page #1 , mengi utajifunza.

Mytake

  • Yeyote kati ya hizo decoder yaweza kukidhi mahitaji yako, wewe ni muamuzi wa ipi ya kuchukua kwa kuzingatia maoni ya wadau.
  • Q28G utatumia SPYCAM kupata sports channel pia waweza kuweka CCCAM
  • Strong STR - hii utatumia CCCAM account (Ninazo) pekee - Na utaweza kuona ligi zote za ulaya
  • Pia sambamba na hizo receiver mbili kuna DREAM BOX nayo ni nzuli

Mkuu mimi sio mgeni kwenye thread zote zinazohusu sattelite chanels nimepitia hiyo thread nikaona sifa za q sat na srt 4922 ila ninachokihitaji mimi ni kuweza kutazama chanel za michezo kama ss chanels je kwa uelewa wako ni rcv gani kati ya hizi mbili itafaa zaidi nifanye mchakato wa kununua kwani kuna ndugu yangu yupo dar anakuja huku geita ushirombo mwisho wa mwezi ningependa aje nayo yeye, ila naomba nithibitishie kwanza ni rcv gani itakidhi mahitaji yangu kati ya srt 4922, open box, dreambox au q sat 28g?
 
Last edited by a moderator:
Receiver pekee zinayofungua DSTV ni zile zinazo support Avatacam/Spycam i.e QSAT/Xmaster
Kumbuka Qsat wanatoa Long term support kwa hizo channel za DSTV na Canal hata DSTV/Canal wajipinde vipi hawa jamaa ni noumer wataweza chakachua tu sisi wote tumeshuhudia hilo

Kwa hiyo mkuu unanithibitishia kuwa q sat ni nzuri kwa kufungua dstv na canal chanels?
 
hizo channel hauwezi zipata kwingine kaka ni either ulipe DSTV au utumie QSAT Ambayo inapiga Canal 22,DSTV 36 partially na DSTV South Afrika almost fully
 
Mkuu mimi sio mgeni kwenye thread zote zinazohusu sattelite chanels nimepitia hiyo thread nikaona sifa za q sat na srt 4922 ila ninachokihitaji mimi ni kuweza kutazama chanel za michezo kama ss chanels je kwa uelewa wako ni rcv gani kati ya hizi mbili itafaa zaidi nifanye mchakato wa kununua kwani kuna ndugu yangu yupo dar anakuja huku geita ushirombo mwisho wa mwezi ningependa aje nayo yeye, ila naomba nithibitishie kwanza ni rcv gani itakidhi mahitaji yangu kati ya srt 4922, open box, dreambox au q sat 28g?
  • QSAT Q28G - itakidhi mahitaji yako
  • Karibu
hizo channel hauwezi zipata kwingine kaka ni either ulipe DSTV au utumie QSAT Ambayo inapiga Canal 22,DSTV 36 partially na DSTV South Afrika almost fully
 
Mi Nimgen Kabisa Kweny Hiz Mamb Hz Reciver Unaunganisha Na Intanet Ama Ukiinunua Ni Kuweka T Chanel Zna Kuwep Vip Malpo Ya Mwez Hayap Na Nikiwa Na Kidsh Kile Cha Azam Ama Zuku Inafaa
 
Umegusia maswala yafuatayo:-
  • Matumizi ya internet kwenye hizi receiver kwa ujumla wake.
  • Upatikanaji wa T- Cahannel
  • Aina ya dish utakalotumia
Matumizi ya internet kwenye hizi receiver kwa ujumla wake.
  • Hizi receiver waweza kuziunganisha kwenye internet kwa njia zifuatazo
    1. Kwa kutumia SIMCard Direct - Hapa utatumia GPRS internet, hii ni kwa Qsat Receiver
    2. Kwa kutumia Wi-Fi - Iwapo una wireless adapter connected kwenye receiver yako, Hivyo kuweza kupokea internet toka kwenye Simu au Wireless Router
    3. Kwa kutumia Ethernet Cable au
    4. kwa kutumia USB Modem
  • Receiver zinahitaji internet connection kuweza kufungua PayTV channel zilizofungwa na utalazimika kuwa na supported account kwenye receiver husika.
  • Pia internet hutumika kufanya Streaming kwa kufungua YOUTUBE au IPTV channel zilizopo kwenye receiver husika
Upatikanaji wa T- Cahannel
  • T- Channel zinapatikana iwapo ume unga antena ya kawaida kwenye receiver yako ambayo ni DVB-T2 enable - kama QSAT Q28G, OpenBox au Dream BOx
  • T-Channel - hazihitaji uwepo wa internet connection yeyote
Aina ya dish utakalotumia
  • Dish lolote ulilonalo laweza kutumiaka
  • Inategemea ni Sat ipi unataka kufungua channel zake.
  • Kuna sat. ambazo beam yake iko karibu - hapa utahitaji dish dogo kama hilo la Azam ulilonalo
  • Na kuna Sat. zingine beam yake iko mbali na ni dhaikfu - Hapo utahitaji Dish kubwa mfano la FT6 au 8
KARIBU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom