Anakudanganya huyo. OA tu, nyumba ya nini wakati ziko kibao mitaani hazina wakazi. Oa babu wasije wajanja wakakuwai kwa huyo malikia wako, achana na mambo ya kujenga.
Mkuu usiwe na mawazo finyu. Wangapi walioa na leo wameshavunja ndoa?
Wangap wapo kweny ndoa lkn wanajuta kwann wameoa?
Mkuu ndoa sio kugongana. Ndoa ni majukumu tena mazito kbs
ukiwa na nyumba yako hata huyo mke uliyenaye atakuheshimu na watu wengine wakiwemo ndugu zako. Hiv mkuu ushawahi kupanga?
Je, unapofikia kodi ya nyumba imeisha,unahesabu laki 9 unamkabidhi mweny nyumba, unajisikiaje?
Hakuna raha km kuishi kweny nyumba yako hata km umetandika mkeka hiyo ni moja ya burudani tosha.
unakuwa unaamani sana na tena ni heshima kubwa.
Acha kijana ndoa ipo tu. leo utazembea kujenga lkn huko mbeleni utakuja juta. Wanawake wapo weng tu tena unaweza kuoa pasipo hata kutoa mahari na wala kufanya harusi.
Kijana, nakusikitikia sana, wapo walioa lkn leo wanajuta na hawatamani hata kukaa nyumban siku za weekend..
kuishi kwny nyumba yako ni raha sana, hata huyo mwanamke unayemkimbilia anaweza hata kukaacha.
Hata ukimwambia baba yako hiyo issue yako au mama yako anaweza kukuzaba vibao.
Jenga kwanza ndio utaishi kwa amani.
Unafurahia sana kuamka asubuhi saa 11 kupanga foleni ya kwenda ku..nya au kuoga?
Kijana pole sana