Kati ya ndoa na ujenzi nianze na kipi?

Kati ya ndoa na ujenzi nianze na kipi?

jipende mwenyewe, jenga nyumba yako na oa mwanamke mwenye nyumba yake au zake.... mwanamke ni hodari sana kwenye biashara hata kama ameajiriwa ni mfanya kazi mwaminifu... usioe mwanamke mvivu au mlevi ni kiama...ubarikiwe my friend!
 
Nani kakwambia? Kipi kati ya Ndoa(Mke) na Nyumba unaweza kutoa talaka na kuachana nacho?. Anza na kile ambacho huwezi kukitolea taraka kwanza. NYUMBA NDO KILA KITU.
Nyumba inaweza ungua pia. Talaka ya nini?
Nyumba ....
 
Mkuu una sh ngapi kwanza?na unakiplonga? Uko mkoa gani?
Angalizo; Ukioa unaweza jenga fasta zaidi kuliko kinyume chake.
 
Wanabodi habari za Muda huu.

Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia ktk haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba?

Tushauriane tafadhali...

Kwani gharama ya kuoa na kujenga nyumba ya aina unayofikiria ni sawa na hapo ulipo una pesa ya kufanya moja kati ya hayo mawili?

Unamaanisha gharama ya kuwa na familia na ile ya kujenga nyumba au vipi? Kwani kuoa ni overnight umemaliza lakini nyumba inachukua muda ingawaje muda huo unategemea na kipato chako na kwa sasa mambo yamebana hakuna ma-deal yasiyokuwa rasmi!!
 
Wanabodi habari za Muda huu.

Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia ktk haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba?

Tushauriane tafadhali...
Je, wazee wako - baba na mama - uzoefu wao ukoje?
 
jipende mwenyewe, jenga nyumba yako na oa mwanamke mwenye nyumba yake au zake.... mwanamke ni hodari sana kwenye biashara hata kama ameajiriwa ni mfanya kazi mwaminifu... usioe mwanamke mvivu au mlevi ni kiama...ubarikiwe my friend!
Thank you my Friend.
 
Kazi kweli kweli. Vyote vinaumuhimu sana. Suala nianze na kipi. Opportunity Cost. What will I be losing nikianza na kimoja wapo? Kipato changu ni cha wastani. Sio kikubwa. Sio kidogo.

Its like Pareto's efficiency! You must feel the pinch of either option you forego! What counts is what between the two options you can easily go without in a short run.
 
13697115_502518296624086_7840427973132988007_n.jpg
 
Kama ujenzi utachukua muda mrefu?, si unajua huu ujenzi wa kuungaunga, lkn kama umejipanga vzr ujenzi utachukua muda mfupi sana hapo nashauri ujenzi uanze,harafu ndoa ifuate...fungate itakuwa nyumba mpya,..nakutakia uamuzi sahihi.
 
hujatuambia bajeti yako ya kuoa ni sh ngapi na bajet ya kujenga ni sh ngapi.
km mtu anashauri oa tu au jenga tu sidhani km anabusara.
ni vema tukajua bajet zako ndipo tukushauri.
mfano km umeweka bajeti ya milioni hamsini ambayo ndiyo unajiuliza kipi kianze ni vema uanze ujenzi,
pia kama una bajeti ya milioni tano na unajiuliza uanze kipi basi ni vema pia ukafanya busara ya kuoa, hiyo ni mifano tu lakini muhimu ni wewe bajeti yako ikoje ndipo uje kuomba ushauri.
 
Wanabodi habari za Muda huu.

Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia ktk haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba?

Tushauriane tafadhali...

It depends Kama una Mchumba how long will it take to build, huwezi kuwa na Mchumba then ukasema Nyumba Ni priority ungoje miaka mi 3 uone. Kama una Mchumba oa, Kama him pambana na Nyumba, Mchumba akitokea on the oa. Usicrame Mdogo Wangu. Maisha ndo Haya Haya, invest in your happiness is all. Don't expect much from these women, wanatuletea watoto, twawaheshimu Ila ndo hivyo hivyo twasonga.
 
Back
Top Bottom