la fiducia
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 212
- 169
Kwani unakwepa nn? Kama gharama ya ndoa ni sawa na ujenzi basi jenga kwanza! Lakini kama kuoa na mipangoa ya ujenz haviingiliani basi oa alafu unajenga coz kuoa ni kitu cha mara moja tuu!!
Lakini pia kama huyo unaemuoa unajua ni msumbufu shopping kila siku baa ulevi na kadhalika! Apo jenga tuu ndugu utaja jutia uamuzi!
Lakini pia kama huyo unaemuoa unajua ni msumbufu shopping kila siku baa ulevi na kadhalika! Apo jenga tuu ndugu utaja jutia uamuzi!