Kati ya ndoa na ujenzi nianze na kipi?

Kati ya ndoa na ujenzi nianze na kipi?

Oa kwanza mjenge wote! Kuliko kujenga halafu Joe baadae after 1 year mnazinguana anaenda mahakamani nyumba inauzwa mnagawana! Ila mkijenga wote na yeye atapata uchungu
 
Nashukuru sana. Kiwanja nimeshapata. Sasa safari ya Ujenzi naifahamu sio ya kitoto. Upande mwingine mchumba ninae mwaka wa Pili Sasa. Yeye ananishauri kwanza nijenge ili tukitoka fungate tuingie kwetu. Yupo sahihi sana. Shida ipo kwangu. Umri unaenda halafu hatuyajui ya Kesho. Natamani nipate mtoto. Na ili nipate mtoto inabidi kwanza nimuoe kwanza ili Mtoto azaliwe ndani ya ndoa. Mchumba hajakataa ila haonyeshi kuridhia kumuoa bila kuwa tumejenga.
Hongera !! na baraka za Mungu huja ppale unapo mtii muumba wako kwa kukamilisha nusu ya dini yako... Means kuoa na baadae ndiyo kujenga!! otherwise unapoint gani kuwa umejenga na umefikwa na utu uzima/ugonjwa/ulemavu/tatizo za kilimwengu "mungu aepushe mbali" sikuOmbei ila Dunia ndo hii !! itakuwa hujaenjoy life ya ujana wako huja furahi na wanao/watoto wako nk nk... YOU ARE THE MAN !! wa kuamua...
Lakini mkienda sambamba na time bila presha utakuwa umeserereka na vyote !!! hapo ndipo utapata ladha na utamu wa maisha!! laa sivyo itakuwa msukumo one sided/upande mmoja!!

makazi mema na uhai bora...
 
Ndugu jenga nyumba kwanza kusudi mwanamke akija heshima iwepo , unaoa unaingia makao mapya kumbuka kuoa majukumu ndo yanaaza hicho kidogo utakacho pata inabidi ukigawanye
 
Hongera !! na baraka za Mungu huja ppale unapo mtii muumba wako kwa kukamilisha nusu ya dini yako... Means kuoa na baadae ndiyo kujenga!! otherwise unapoint gani kuwa umejenga na umefikwa na utu uzima/ugonjwa/ulemavu/tatizo za kilimwengu "mungu aepushe mbali" sikuOmbei ila Dunia ndo hii !! itakuwa hujaenjoy life ya ujana wako huja furahi na wanao/watoto wako nk nk... YOU ARE THE MAN !! wa kuamua...
Lakini mkienda sambamba na time bila presha utakuwa umeserereka na vyote !!! hapo ndipo utapata ladha na utamu wa maisha!! laa sivyo itakuwa msukumo one sided/upande mmoja!!

makazi mema na uhai bora...
Amen.
 
hivi kwani gharama ya kuoa shingapi na gharama ya kujenga shingapi?na muda wa kuoa ni kiasi gani na muda wa kujenga ni kiasi gani? watu wanaomba ushauri au wanafanya id ziwe active?
 
Jenga ili hata ukioa mke wako kama mkidiffer hawezi kusema mgawane nyumba kwa kuwa mlijenga naye, ameikuta na aiche kama ilivyo hajatoa hata mia yake hapo😉
 
Nashukuru sana. Kiwanja nimeshapata. Sasa safari ya Ujenzi naifahamu sio ya kitoto. Upande mwingine mchumba ninae mwaka wa Pili Sasa. Yeye ananishauri kwanza nijenge ili tukitoka fungate tuingie kwetu. Yupo sahihi sana. Shida ipo kwangu. Umri unaenda halafu hatuyajui ya Kesho. Natamani nipate mtoto. Na ili nipate mtoto inabidi kwanza nimuoe kwanza ili Mtoto azaliwe ndani ya ndoa. Mchumba hajakataa ila haonyeshi kuridhia kumuoa bila kuwa tumejenga.
Yeye anataka kuolewa na wewe au na nyumba? Wewe oa na uendelee na mipango ya ujenzi kama kawaida.
 
Inategemea uko kijijini au mjini? Na uwezo wa familia unakotoka ukoje? Kama uko kijijini kujenga ni rahisi some how maana 8mil waweza kujenga nyumba yenye hadhi na huko tena yaweza kuwa nzuri tu. Kwa mjini ili ujenge yahitaji kwanza uwe na kiwanja na minimum cost kwa nyumba ya kawaida ni kama 40 mil.
Sasa wewe endelea kusubiri mpaka ujenge ndio uoe! Utazeeka ukiwa na msingi tu. Oa kwa kwanza ndio uwaze kujenga, hata myumba ya kupanga ina heshima yake maana si wote wenye uwezo wa kupanga. Angalia na age yako, kama bado una miaka 20 waweza kuanza na ujenzi, ila kama una approach 30yrs hilo la kujenga liende sambamba na ndoa
Mawazo mazuri sana.
 
wanawake wenyewe hawa used na used na used mara mia... x wanajaza bus... ni bora ujenge tu..

maana usijekuta amepigwa hadi picha huku anakula dyudyu ya x wake

Jenga wewe usije ukaletewa zawadi ya picha baada ya honeymoon [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom