bashiganye
Member
- Jul 11, 2016
- 38
- 25
usiharakie ndoa,jenga nyumba mdogo wangu
Mkuu kwani umesema kwao hakuna nyumba??Ndoa pasua kichwa.
Anza ujenzi kwanza, na kama inawezekana anza kujenga kwenu. Then mengine ndo yafuate.
Hapo umenitisha kidogo. Lakini fresh. There is too much pain to jodge. Iwe nimeoa ama sijaoa. Nimejenga ama sijajenga. Pain is everywhere.Poa, OA. Ila baadae usije ukaujutia ushauri wangu. PERIOD
Ikitokea bahati mbaya mnaachana mnachogawana ni kile tu kilichopatikana mkiwa kwenye ndoa,mali iliyopatikana kabla ya hapo haihusiki na mgao.Uombe na Usali kwa Mungu kukupa Mke Mwema. Ukioa either mke amekukuta na nyumba au mlijenga wote, mkiachana itabidi mgawane mali, inaweza kupelekea nyumba kuuzwa na hawa mabinti wanajua kweli kuhesabu baada ya ile miaka miwili ya kuishi pamoja kisheria mahakamani ndio hesabu inaanza hapo.
Wakizituma wala sintokuja humu kulalamika. Nitajifungia kimya. Nilie na Mola wangu.Oa kwanza afu utumiwe video zile za mkeo ajae
Nadhani kupoteza muda ndio maumivu makali pekee. Na vyote vikivunjika ni muda ndio unakuwa umepotea.Vyote vinavunjika ndoa inavunjika kwa sababu zake na nyumba inavunjika kwa sababu zake sasa chagua moja sababu gani itakua inamaumivu kidogo kuliko
Dah! We mtu kilaz.a sanaJenga wewe. Nyumba heshima.
Mkuu watu hawajui kama nyumba uongeza heshima ya ndoa jenga kwanza ndio kila kitu kuwa na kwako raha sana mambo unatembelewa Na wageni Wa heshima unawaombea kwa jirani ni ujinga kuna muda unakosa ela ya gest ndoa inakufa muda wowote nyumba itabakiNa uache kulinganisha vitu vya maana na kuoa. Na si kwamba nakushauri ujenge kwanza bali achana na miradi isiyotathiminika kama kuoa. Kila siku mnaambiwa ndoa ni taasisi inayokufa kifo cha asili, huelewi!
JENGAWanabodi habari za Muda huu.
Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia ktk haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba?
Tushauriane tafadhali...