Kwa hiyo akishaoa asifanye maendeleo yoyote ikiwa ni pamoja na kujenga au kununua assets kwa sababu tu wakiachana na mkewe watagawana? Au afanye vyote anavyotaka kufanya kabla hajaoa?Hakuna anayeoa kwa minajili lakini huwa inatokea bahati mbaya, achukue tahadhari mapema, sikuwa na maana uliyoifikiria wewe
haya tafuta jibu mwenyewe sio lazima nijibu kila hojaKwa hiyo akishaoa asifanye maendeleo yoyote ikiwa ni pamoja na kujenga au kununua assets kwa sababu tu wakiachana na mkewe watagawana? Au afanye vyote anavyotaka kufanya kabla hajaoa?
Mkuu pambana ujenge harusi si mchezo ukimaliza kuoa unaweza ukawa Na mambo mengi ya kufanya mke anataka kubadili mazingira ya nyumba kuongeza furniture vyombo Na makororo mengi kwa kuwa ndio mwanzo Wa ndoa utajikuta unatoa ela tu Na baada ya mwaka utaanzia kujiandaa Na mtoto akipatikana bado kuna matunzomatunzo akifika miaka mitatu najua utataka mwanao asome shule za kidumu Na fagio kwa hiyo baby class kuna shule za ADA Adi milioni mbili kwa mwaka hiyo safari ya ADA ndio umeianza hapo hadi miaka 20 ya mtoto kama una ela jenga kwanza msikilize mkeo akuna raha kama kuishi kwenye nyumba yako ila sikiliza moyo wakoKazi kweli kweli. Vyote vinaumuhimu sana. Suala nianze na kipi. Opportunity Cost. What will I be losing nikianza na kimoja wapo? Kipato changu ni cha wastani. Sio kikubwa. Sio kidogo.
Wanawake ni kama njaa tuu. Kwa mwanaume rijali utavumilia lakini ipo siku utakwama tuu. Sitaki negative thoughts japo sintozipuuza.wanawake wenyewe hawa used na used na used mara mia... x wanajaza bus... ni bora ujenge tu..
maana usijekuta amepigwa hadi picha huku anakula dyudyu ya x wake
Mkuu sio nakuogopesha ni hali halisi. Anza kujenga mkuu kwanza gharama za maisha zinapanda. VAT kila siku inaongezeka kwa mwendo huu wa mwendo kasi maisha yatakuwa magumu sana huko mbeleni laki 5 itakuwa km laki 1 mkuu.Daah!! Sawa Mkuu japo ndio unazidi kuniogopesha. Ukubwa taabu kweli kweli.
Moyo unaniambia nioe kwanza. Mengine nitazidishiwa. Hii dhambi ya Uzinzi niishinde kwa Ndoa. Lakini sipuuzi mawazo ya walionitangulia maana sijui nitagota wapi.Mkuu pambana ujenge harusi si mchezo ukimaliza kuoa unaweza ukawa Na mambo mengi ya kufanya mke anataka kubadili mazingira ya nyumba kuongeza furniture vyombo Na makororo mengi kwa kuwa ndio mwanzo Wa ndoa utajikuta unatoa ela tu Na baada ya mwaka utaanzia kujiandaa Na mtoto akipatikana bado kuna matunzomatunzo akifika miaka mitatu najua utataka mwanao asome shule za kidumu Na fagio kwa hiyo baby class kuna shule za ADA Adi milioni mbili kwa mwaka hiyo safari ya ADA ndio umeianza hapo hadi miaka 20 ya mtoto kama una ela jenga kwanza msikilize mkeo akuna raha kama kuishi kwenye nyumba yako ila sikiliza moyo wako
Well said mr.Mkuu pambana ujenge harusi si mchezo ukimaliza kuoa unaweza ukawa Na mambo mengi ya kufanya mke anataka kubadili mazingira ya nyumba kuongeza furniture vyombo Na makororo mengi kwa kuwa ndio mwanzo Wa ndoa utajikuta unatoa ela tu Na baada ya mwaka utaanzia kujiandaa Na mtoto akipatikana bado kuna matunzomatunzo akifika miaka mitatu najua utataka mwanao asome shule za kidumu Na fagio kwa hiyo baby class kuna shule za ADA Adi milioni mbili kwa mwaka hiyo safari ya ADA ndio umeianza hapo hadi miaka 20 ya mtoto kama una ela jenga kwanza msikilize mkeo akuna raha kama kuishi kwenye nyumba yako ila sikiliza moyo wako
Sikiliza moyo wako mkuu cha muhimu ni kuwa Na lengo baada ya kuoa kuwa lazima uishi kwenye nyumba yako ndani ya muda Fulani itasaidia kwenye bajeti zakoMoyo unaniambia nioe kwanza. Mengine nitazidishiwa. Hii dhambi ya Uzinzi niishinde kwa Ndoa. Lakini sipuuzi mawazo ya walionitangulia maana sijui nitagota wapi.
Mali hazinipi shida sana maana najua siku ya kutangulia mbele ya haki nitaziacha. Hasa nachowaza ni kupata Mtoto na ili nifanikiwe ni busara nikao kwanza.
Again nakubali hakuna gurantee nikioa nitapata mtoto but still. Natamani kuoa kwanza.
Naamini Mali nitapata tuu.
Apataye mke (Mke sahihi) apata kitu chema, nae ajipatia kibali mbele ya Bwana.
Kuna watu wanamaghorofa wanatamani wayakimbie kwa kukosea kuoa mtu sahihi.
Kama umejiridhisha OA nyumba utajenga nyingi tu kama uko na mtu sahihi. Kama bado unamashaka endelea na ujenzi
Poa, OA. Ila baadae usije ukaujutia ushauri wangu. PERIODSasa nitaishi mwenyewe? Halafu kwanini nioe huku nawaza talaka?
Anakudanganya huyo. OA tu, nyumba ya nini wakati ziko kibao mitaani hazina wakazi. Oa babu wasije wajanja wakakuwai kwa huyo malikia wako, achana na mambo ya kujenga.Daah!! Sawa Mkuu japo ndio unazidi kuniogopesha. Ukubwa taabu kweli kweli.
Anakudanganya huyo. OA tu, nyumba ya nini wakati ziko kibao mitaani hazina wakazi. Oa babu wasije wajanja wakakuwai kwa huyo malikia wako, achana na mambo ya kujenga.Kwa matukio yanayotoke siku hizi JENGA kwanza
Hii iko powa. Achana na maswal ya kujenga, utajenga ukizeeka.doa kwanza nyumba badae