J Jerry Farms Member Jul 18, 2022 59 41 Sep 8, 2023 #1 Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
Mwana Taaluma JF-Expert Member Oct 21, 2019 537 1,179 Sep 8, 2023 #2 Sijakusikia vizuri umesema? Apewe kipaumbele nanani?. Wakati maamuzi ya wananchi hayasikilizwi. Huku kwetu Bora liendetu, kiongozi akichaguliwa anatia Pini kujilinda ufedhuli wake. Wao wapo kwaajili Yao sio kwaajili yetu. Stupid readership
Sijakusikia vizuri umesema? Apewe kipaumbele nanani?. Wakati maamuzi ya wananchi hayasikilizwi. Huku kwetu Bora liendetu, kiongozi akichaguliwa anatia Pini kujilinda ufedhuli wake. Wao wapo kwaajili Yao sio kwaajili yetu. Stupid readership