Kati ya mume na mke (wanandoa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya mume na mke (wanandoa)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dr-of-three-Phd, Jun 23, 2011.

 1. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haka ka-swali nimekutananako sehemu watu wakijadiriana na mabishano makubwa niakondoka bila kuapata majibu kwani mabishano yalizidi majibu, na kamuda kangu kuwepo hapo kalikuwa kameisha sasa naomba nisaidiwe kwani nilitamani kujua jibu pale kwenye kale kamjadara; je, hapa jamvini tunasemaje?


  Kati ya Mume na Mke (wanandoa) ni nani anatakiwa amwombe mwezie unyumba, iwe mchana au usiku wamelala?


  cheers
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wote,kila mmoja ana haki ya kuomba apewe anapokuwa na njaa!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hakuna kuombana sababu nyote ni wanandoa yoyote anaweza akaanza na mwingine hana budi kumpatia kama sio mgonjwa au amechoka
   
 4. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aaaaaiiiii!!! ni dokta wa phd 3 unauliza hili swali.... umefuzu kitu gani????
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wewe niangusage tu, dhambi ni zako mwenyewe!
   
 6. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane..... (1Kor 7:3-4).
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nani anayesema hivyo? Mume au mke.....??
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwishney!!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu sheria ya ndoa yawataka wote walale uchi muda wote hususani nyakati za usiku, this means kwambo yeyote kati yao pale atakapojisikia ku'do amwombe mwenzake!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata mmoja asimwombe mwenzake...wakae tu kama dada na kaka!
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,283
  Trophy Points: 280
  Kha..kuombana!???
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Sina swali!
   
 13. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa PHD mbona swali liko nusu..Kuna aina nyingi za kuomba..Kwa maneno, kwa tabasamu, kwa kugusana wakati unalala, kwa perfume'..sasa si unajua..mwili umeumbwa na magnet..hizi dalili zikitokea ..hata kwa bahati mbaya..mizinga inakoki risasi na kunakuwa hakuna msamaha..

  In short..huwezi kupanga kuomba ..hii kitu inakuja "automatically" labda kama mnadanganyana...
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  we lizzy wewee.....!! Mmh hayaa....
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mweeeeh... Basi kila mmoja aludi kwa wazazi wake..
   
 16. M

  Mateka Senior Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi naona iwe selfserve anayejisikia basi aanze kudo
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Da! Sheria namba ngapi. Ina maana night dress ni za walio single tu. Kaazi kweli kweli. Akitoke mwizi au nyumba ikiungua ndio mkurupuke kama mlivyozaliwa mwache gumzo mtaani.

   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,788
  Likes Received: 83,161
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol! inabidi nguo zenu zisicheze mbali na mnapolala pindi zikihitajika kama ataingia mwizi au kutazuka moto. Wakati zile kelele za mwizi mwizi mwizi au moto moto moto zikiendelea viwalo vyako pia unaviweka mwili kwa speed kubwa sana :)
   
 19. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Sio lazima PhD yake iwe ya mapenzi!
   
 20. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Yeyote atakayehitaji.
   
Loading...